samahan ndugu wewe ni wa kiume au wa kike???
kama ni wa kiume una mambo ya kidada..
kama ni wa kike acha umbea na kukurupuka...,,sawa????
Hata sizonje hajipambanui kama mwanasiasa zaidi ya usimamizi mzuriBado hajajipambanua kama mwana siasa mahiri ila ni mwanasheria mahiri bado sana!
Nakubaliana na wewe tatizo tundu lissu siyo doctor wa magonjwa ya akili hivyo itakuwa ngumuTundu Antiphas Lissu
Mbunge kutoka Jimbo la Singida mashariki.ameonesha uwezo usio na Mashaka katika siasa za Kupambana na Utawala uliojaa Chuki, Visasi, Dharau, kejeli na ubabe wa Rais aliyeko madarakani.
Nathubutu kusema huyu bwana ameamua kujitoa nafsi katika kutetea utawala wa haki na sheria katika nchi hii.
Nitaeleza baadhi ya hoja za msingi ambazo amezisimamia binafsi kwa manufaa ya Nchi hii.
1. Uhuru wa kujieleza
Rais baada ya kuingia madarakani alitangaza rasmi kupiga marufuku Uhuru wa mikutano ya kisiasa ,watu au vikundi vya watu kuandamana na kukusanyika kueleza fikra zao. Ni Tundu Lissu aliyepinga hadharani suala hili na kukamatwa kwa makosa ya uchochezi.
2. Kutetea utawala wa sheria ,haki na wajibu wa serikali kwa Wananchi
Nakumbuka baada ya maafa ya tetemeko la Ardhi mkoani kagera Serikali kupitia kwa Rais ilitangaza kwamba hakutakua na msaada kwa yeyote aliyepata madhara na kwamba watu wafanye kazi kwakua tetemeko halikuletwa na serikali. Ni huyu Tundu Lissu alisimama akaeleza kwamba Serikali ina wajibu wa kuwasaidia watu wake kwa kuwa wanalipa kodi na mojawapo ya matumizi ya kodi zao ni kusaidia majanga kama hayo licha ya msaada lukuki iliyotolewa na watanzania na Wahisani walioguswa na Janga hilo.
3. Tundu Lissu kutangaza hadharani kuwania nafasi ya Urais wa chama cha Wana sheria nchini ( Tanganyika Law Society)
Hapa ni kama Tundu Lissu aliichikoza Serikali ambayo tayari Rais alishatoa warning kwa chama hiki kwamba anasikia kuna mtu kutoka chama cha Upinzani anataka kuwania urais na akasema wazi kuwa Never and Never hilo halitawezekana. Kama mnakumbuka Tundu Lissu aliamua kuchukua fomu ya kuwania urais wa TLS baada ya kusikia kauli ya Rais Magufuli katika siku ya kuadhimisha wana sheria. Kwangu huu ulikuwa ni ujasiri uliopotiliza kiwango
Kwa uchache Tundu Lissu ameonesha ujasiri wa Kupambana na Bwana John Magufuli. Nawaasa chadema hakuna Mwanaume anaeweza kuisumbua hii serikali ya ccm kwa sasa kama Tundu Lissu. Simfahamu wala sijawahi kumuona lakini nadiriki kuwa yeye ndio yeye.
Tayari ccm wamethibitisha kuwa 2020 ni John Magufuli na kiboko yake ni Tundu Lissu ana hoja za msingi na akisimama wananchi wenye vyeti ( Akili) tunamuelewa.
Chadema kama mnamasikio mnisikie mimi huwa siandiki mara kwa mara hapa Jamii Forum lakini kwa hili nimesukumwa niwaeleze.
Mwangalieni atawaokoa.
Karibuni.
Kat ya jpm Na lisu Nani mwenye hasira?Lisu sio mtu wa Kaskazini wewe hatumjui na wamasai hawawezi kumuunga mkono...
Halafu Lisu anazo jazba nyingi hapaswi kuwa kufikiriwa hata kuwa Rais wa TLS achilia mbali nchi
Huu ni ushauri tu nimetoa.kama wana vyeti watanielewa.
Ikiwa unaamini hayo unayoandika hapa kuhusu lissu, hayo mapingamizi ya mahakama Kila siku mnapeleka ya nini?Ni muda gani wabunge (Mfano Tundu Lissu) ambao mda wote wapo kwenye majukwaa mikoa mingine wanafanya mambo ya maendeleo katika majimbo yao?
Nadhani hafai kushika hata huo uongozi wa TLS kwani hataleta chochote cha maana zaidi ya kugombana na watu mda wote na kuacha kusimamia vitu vya msingi.
Ni kweli kabisa maana yeye Lisu hana nguvu ya dola kama Polisi, Tume ya uchaguzi nk.Lisu hana uwezo wa kupambana jpm ktk ngazi ya urais
Sasa naona unataka Lissu akurupushwe CDM sambamba na hao wengine walioitwa wasaliti.Tundu Antiphas Lissu
Mbunge kutoka Jimbo la Singida mashariki.ameonesha uwezo usio na Mashaka katika siasa za Kupambana na Utawala uliojaa Chuki, Visasi, Dharau, kejeli na ubabe wa Rais aliyeko madarakani.
Nathubutu kusema huyu bwana ameamua kujitoa nafsi katika kutetea utawala wa haki na sheria katika nchi hii.
Nitaeleza baadhi ya hoja za msingi ambazo amezisimamia binafsi kwa manufaa ya Nchi hii.
1. Uhuru wa kujieleza
Rais baada ya kuingia madarakani alitangaza rasmi kupiga marufuku Uhuru wa mikutano ya kisiasa ,watu au vikundi vya watu kuandamana na kukusanyika kueleza fikra zao. Ni Tundu Lissu aliyepinga hadharani suala hili na kukamatwa kwa makosa ya uchochezi.
2. Kutetea utawala wa sheria ,haki na wajibu wa serikali kwa Wananchi
Nakumbuka baada ya maafa ya tetemeko la Ardhi mkoani kagera Serikali kupitia kwa Rais ilitangaza kwamba hakutakua na msaada kwa yeyote aliyepata madhara na kwamba watu wafanye kazi kwakua tetemeko halikuletwa na serikali. Ni huyu Tundu Lissu alisimama akaeleza kwamba Serikali ina wajibu wa kuwasaidia watu wake kwa kuwa wanalipa kodi na mojawapo ya matumizi ya kodi zao ni kusaidia majanga kama hayo licha ya msaada lukuki iliyotolewa na watanzania na Wahisani walioguswa na Janga hilo.
3. Tundu Lissu kutangaza hadharani kuwania nafasi ya Urais wa chama cha Wana sheria nchini ( Tanganyika Law Society)
Hapa ni kama Tundu Lissu aliichikoza Serikali ambayo tayari Rais alishatoa warning kwa chama hiki kwamba anasikia kuna mtu kutoka chama cha Upinzani anataka kuwania urais na akasema wazi kuwa Never and Never hilo halitawezekana. Kama mnakumbuka Tundu Lissu aliamua kuchukua fomu ya kuwania urais wa TLS baada ya kusikia kauli ya Rais Magufuli katika siku ya kuadhimisha wana sheria. Kwangu huu ulikuwa ni ujasiri uliopotiliza kiwango
Kwa uchache Tundu Lissu ameonesha ujasiri wa Kupambana na Bwana John Magufuli. Nawaasa chadema hakuna Mwanaume anaeweza kuisumbua hii serikali ya ccm kwa sasa kama Tundu Lissu. Simfahamu wala sijawahi kumuona lakini nadiriki kuwa yeye ndio yeye.
Tayari ccm wamethibitisha kuwa 2020 ni John Magufuli na kiboko yake ni Tundu Lissu ana hoja za msingi na akisimama wananchi wenye vyeti ( Akili) tunamuelewa.
Chadema kama mnamasikio mnisikie mimi huwa siandiki mara kwa mara hapa Jamii Forum lakini kwa hili nimesukumwa niwaeleze.
Mwangalieni atawaokoa.
Karibuni.
Huna hoja mkuu katika bandiko langu nimeonesha baadhi ya hoja ambazo Tundu lissu amezisimamia. Na serikali imekuwa ikihangaika nae sana. Siku zote ukiona serikali inakuandama sana ujue kuwa una impact katika jamii. Nafikiri wakazi wa Singida mashariki katika jimbo la Mh.Tundu Lissu watakua wanajivunia kuwa na mbunge mtetezi wa Tanzania yenye utawala wa haki, demokrasia na sheria.Ni muda gani wabunge (Mfano Tundu Lissu) ambao mda wote wapo kwenye majukwaa mikoa mingine wanafanya mambo ya maendeleo katika majimbo yao?
Nadhani hafai kushika hata huo uongozi wa TLS kwani hataleta chochote cha maana zaidi ya kugombana na watu mda wote na kuacha kusimamia vitu vya msingi.
Kama chadema watamfukuza Tundu Lissu watahitaji kupimwa vichwa vyao kama viko sawa. Hakuna anaeweza kumsumbua Magufuli zaidi ya Tundu Lissu kwa sasa.Sasa naona unataka Lissu akurupushwe CDM sambamba na hao wengine walioitwa wasaliti.
Tundu Lissu kushinda ubunge kwa % 60 maeneo kama Singida ambako upinzani hauna nguvu nyingi kama baadhi ya maeneo ni ushindi mkubwa mno, pia hizo 60% ni pamoja na kuiba sana kura ndio zikapatikana hizo, lakini kama uchaguzi unakuwa huru na haki Lissu angeshinda kwa 80+%. Lissu angekuwa maeneo yale yaliyojaa uelewa wa watu wake kama Dar, Kanda ya Kaskazini, Mbeya n.k angekuwa anashinda kwa ushindi wa kishindo sana.Kimkakati Lissu hawezi kushinda wala kuisaidia CDM, Lissu alipita kwa chini 60% kura za ubunge kwa jimbo lake tu, hii inamaanisha hata Singida hawezi kushinda.
Usifikirie kwa kuwa Lowasa alishinda Arusha na Klm basi na Lissu atashinda pia, la hasha kuna uwezekano mkubwa Lisu akabwaga Arusha, Klm na Mbeya na kubakia na Dar peke yake. Uchaguzi ni mkakati.
Hapo ndipo kwenye shida katika nchi yetu.TUME
Nimeelezea kwa muktadha wa siasa za Tanzania kwa hivi sasa. Ni kama wote wapinzani na wa ccm wameufyata.Kwani Magufuli ni nani si binadamu kama sisi kwanini unataka tumuogope
100% rightTundu Antiphas Lissu
Mbunge kutoka Jimbo la Singida mashariki.ameonesha uwezo usio na Mashaka katika siasa za Kupambana na Utawala uliojaa Chuki, Visasi, Dharau, kejeli na ubabe wa Rais aliyeko madarakani.
Nathubutu kusema huyu bwana ameamua kujitoa nafsi katika kutetea utawala wa haki na sheria katika nchi hii.
Nitaeleza baadhi ya hoja za msingi ambazo amezisimamia binafsi kwa manufaa ya Nchi hii.
1. Uhuru wa kujieleza
Rais baada ya kuingia madarakani alitangaza rasmi kupiga marufuku Uhuru wa mikutano ya kisiasa ,watu au vikundi vya watu kuandamana na kukusanyika kueleza fikra zao. Ni Tundu Lissu aliyepinga hadharani suala hili na kukamatwa kwa makosa ya uchochezi.
2. Kutetea utawala wa sheria ,haki na wajibu wa serikali kwa Wananchi
Nakumbuka baada ya maafa ya tetemeko la Ardhi mkoani kagera Serikali kupitia kwa Rais ilitangaza kwamba hakutakua na msaada kwa yeyote aliyepata madhara na kwamba watu wafanye kazi kwakua tetemeko halikuletwa na serikali. Ni huyu Tundu Lissu alisimama akaeleza kwamba Serikali ina wajibu wa kuwasaidia watu wake kwa kuwa wanalipa kodi na mojawapo ya matumizi ya kodi zao ni kusaidia majanga kama hayo licha ya msaada lukuki iliyotolewa na watanzania na Wahisani walioguswa na Janga hilo.
3. Tundu Lissu kutangaza hadharani kuwania nafasi ya Urais wa chama cha Wana sheria nchini ( Tanganyika Law Society)
Hapa ni kama Tundu Lissu aliichikoza Serikali ambayo tayari Rais alishatoa warning kwa chama hiki kwamba anasikia kuna mtu kutoka chama cha Upinzani anataka kuwania urais na akasema wazi kuwa Never and Never hilo halitawezekana. Kama mnakumbuka Tundu Lissu aliamua kuchukua fomu ya kuwania urais wa TLS baada ya kusikia kauli ya Rais Magufuli katika siku ya kuadhimisha wana sheria. Kwangu huu ulikuwa ni ujasiri uliopotiliza kiwango
Kwa uchache Tundu Lissu ameonesha ujasiri wa Kupambana na Bwana John Magufuli. Nawaasa chadema hakuna Mwanaume anaeweza kuisumbua hii serikali ya ccm kwa sasa kama Tundu Lissu. Simfahamu wala sijawahi kumuona lakini nadiriki kuwa yeye ndio yeye.
Tayari ccm wamethibitisha kuwa 2020 ni John Magufuli na kiboko yake ni Tundu Lissu ana hoja za msingi na akisimama wananchi wenye vyeti ( Akili) tunamuelewa.
Chadema kama mnamasikio mnisikie mimi huwa siandiki mara kwa mara hapa Jamii Forum lakini kwa hili nimesukumwa niwaeleze.
Mwangalieni atawaokoa.
Karibuni.
Sanaa Lissu ameonesha uwezo mkubwa sana wa Kupambana na serikali inayotaka kusimika utawala wa kimla.tunataka kufungwa mdomo hata sisimizi hakuna kukohoa amri ni moja tu kutoka kwa bwana Magufuli.Mimi naona kwa sasa wanaomuunga mkono mh. Lowasa kugombea urais 2020 ni wana ccm ili washinde uchaguzi. Binafsi mpaka sasa Lissu is the best.
Sure100% right