CHADEMA mnashaurika, shaurikeni na hili

ofisi nyingi za CHADEMA ziko kwenye nyumba za Mtei.....pale makao makuu pamoja na nyumba kuwa mbovu wanalipa kodi ya pango kwa Mtei kiasi cha dola USD 2,000$ kwa mwezi.....chama kinaendeshwa kwa madili dili tu ya upigaji
 
hela yote hyo ya nini? ila sio dola usd ! andika vizuri .
 
Kutwa kucha mawazo ya CDM yapo mahakamani, sidhani Kama ushauri wako utawafaa !
Kwahiyo huko mahakamani wanajipeleka?nyie maccm sindio mnawabambikia makesi yasiyo na kichwa wala miguu?hivi nyinyi ccm mmerogwa na nani haswaaa?
 
Chadema baada ya kugundua waliingizwa Mkenge na Tundu Lissu wameamua kufuata ushauri wa Spika wa Bunge kuitisha upya Mchakato wa Ubunge wa EA ngazi ya Chama japo hapo awali walijidai wasingetekeleza ushauri huo wa Spika

Hongereni Chadema kushaurika
Ubaya uko wapi sasa?
 
Back
Top Bottom