Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,577
sihitaji Kukumbushwa Na Wewe, Mkumbushe Mbowe Na Kamati Kuu Ya Chadema Iliyojaa Wahafidhina Wasio Na Vision.
Unasema Kuwa Wangwe Alikuwasumbua Nccr Kwanini Mlimchukua? Wako Wengi Waliokuwa Nccr Mmoja Wapo Kitila Mkumbo Nae Anawasumbua?
Naona Huna Hoja Na Sasa Unakimbilia Sheria Ya Jf,tunachojadili Ni Wangwe Chacha Na Mbowe,dawa Ya Jipu Ni Kulikamua Sio Kuliacha Hadi Mkono Au Mguu Uoze.
Kitila Mkumbo Hajawahi Kuwa Nccr Ila Alikuwa Mwanachama Wa Ccm Wakati Ikiwa Na Muelekeo ,alipoona Haina Muelekeo Akajiunga Na Chama Chenye Muelekeo Wa Kutetea Wanyonge Na Kulinda Rasilimali Za Taifa Hili Kwa Manufaa Ya Wote.