Dr. Willibrod Slaa
Public Figure
- Jul 1, 2008
- 675
- 1,523
IssayaMwita,Dr.W.Slaa;
Dr.W.Slaa; nashukuru kwa ushauri wako ulioainisha hapo juu, na tena kwa moyo wa dhati napenda kuujulisha huu umma wa hapa jamvini kuwa naufunga mjadala huu kwa shingo upande, lakini nategemea kuwa mwenyekiti wetu ni msikivu.
Dr.W.Slaa;naomba utambue kuwa neno kujiuzulu huenda lilitumika vibaya na jinsi nilivyotaka kufikisha ujumbe kwa hadhira wangu, lakini sijui ni neno gani lingefaa hapa ili kuweza kumshauri Mweshimiwa Mbowe akajiweka pembeni.
Dr.W.Slaa; Ni kweli hoja yangu imekosa mshiko na hivyo naomba wanajamii forums waichukue hii maada kama changamoto kwetu na pia nadhani imekuwa ikifanya nikomae ktk hili ninaloliamini.
Maada hii ilipoanza ilionekana kama SHUBILI, walioichangia walikuwa waoga sana huku wakijipendekeza kwa muhusika bila kujali hoja iliyopo mezani
Mwisho nasema mUNGU IBARIKI TANZANIA
Nakushukuru sana kwa ustaarabu wa kumaliza hoja. Tupiganie sana Taifa letu and we should be able stand above our political parties when it comes to serious National issues