Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,976
- 45,851
Nini cha maana sana umekifanya kwa taifa lako toka umezaliwa zaidi sana ya kupiga umbea JF?Wanaishi kwenye majumba ya vioo halafu wanatupa mawe!!!! Ili mradi wachangie uzi.
Nini cha maana sana umekifanya kwa taifa lako toka umezaliwa zaidi sana ya kupiga umbea JF?Wanaishi kwenye majumba ya vioo halafu wanatupa mawe!!!! Ili mradi wachangie uzi.
Nini cha maana sana umekifanya kwa taifa lako toka umezaliwa zaidi sana ya kupiga umbea JF?
Wewe mchango wako wenye mantiki ndio huo usemi wako kua mchango wangu hauna mantiki? Akili za ukawa ni za viroba tu.Nimeonyesha unaishi kwenye majumba ya vioo halafu unatupa mawe. Mchango wako hauna mantiki. Sasa kama mimi mbea wewe sijui nikuiteje?. Ahsante na kwa heri. Sorry kama limekuchoma kwani naona unauliza maswali yasiyo endana na uzi wala comment yako.
Ni kwa kiwango cha akili za maCCM mnaendeleza ujinga wa jengo kuwa ndicho kigezo. Sawa mbona mnachechewa na wenye jengo bovu badala ya hao mnaowafadhili?Acha uongo na akili mgando, hata TLP na CUF, NCCR imewashinda ina majengo yao Chadema ni viongozi kujinufaisha na ruzuku na misaada mingine