Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
- Thread starter
- #61
Mikutano kwa ccm ni sawa kwa wapinzani hapanaalafu mnajinasibu nchi hii inautawala wa sheria? Je ni kweli tunademokrasia nchi hii?bavicha kwenda Dodoma kizuia mkutano ni jambo la msingi?? una amini ni kqeli wataenda Dodoma?