Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,895
...mimi naamini kuwa NGUVU ya CCM, Uimara wake na UTENDAJI wake utakuwa bora zaidi kukiwepo Upinzani Madhubuti, ambao utawakumbusha CCM wanapojisahau..
Hapo pamenifikirisha!
- Leo pasingekuwa na upinzani barabara zote zingekuwa za vumbi au?
- ILANI na SERA za chama ziko wapi hadi tutegemee upinzani kutuongoza?
Well, leo niko kiamani zaidi... #hubiriAmani kuna maisha baada ya Oktoba25.