CHADEMA kuendelea kukusanya rambirambi ni kiburi au ni njia ya upigaji?

Mtoto aliyezaliwa Jana anaweza kuwa na upeo kuliko wewe.
Mungu ndiye anayetoa karama za namna hiyo...ndio maana kuna walio wadigo kwangu wana upeo zaidi yangu na kuna wakubwa kwangu wana upeo mkubwa ...lakini pia kuna wadigo kwangu niliowazidi upeo na kuna wakubwa kwangu niliowazidi upeo!
 
Sio mimi tu bali hata nyie wanachadema hamkujua ...siku ile mnataka kuwasilisha rambirambi mbele ya camera kulikuwa na ahadi ya Ndesamburo?

Endelea kuweweseka,uzuri ni kuwa rambi rambi haijapitisha kwa mla rambi rambi Gambo!Mpango umefanikiwa!Chama kina taarifa,wewe ccm kutokuwa na taarifa kajizike!
 
Ilibidi wakusanye ili wafiwa wakapewe maana nyinyi mlikusanya mkazipangia matumizi mengine,ni ajabu fedha za rambirambi kwenda kwenye shughuri za serikali,maajabh hayo yapo Tanzania tu
 
Siku hizi kufarijiana na kupeana rambi rambi inategemea ridhaa ya viongozi wa serikali!, tangu lini na kwa sheria IPI na Bunge lipi liliipitisha?
Kweli ufinyu wa akili ni shida!
 
Siku hizi kufarijiana na kupeana rambi rambi inategemea ridhaa ya viongozi wa serikali!, tangu lini na kwa sheria IPI na Bunge lipi liliipitisha?
Kweli ufinyu wa akili ni shida!
Ongelea kwa muktadha wa msiba wa kitaifa.
 
Nianze kwa kusema RIP Mzee wetu Ndesamburo...Mwanga wa Milele uangaziwe.

Nikijikita kwenye hoja...inasemekana Meya wa jiji la Arusha alikutana na marehemu mzee Ndesamburo kwa ajili ya kukusanya rambirambi za msiba wa Lucky Vincent.

Ni majuma takribani matatu hivi toka mkuu wa mkoa asitishe rasmi zoezi la ukusanyaji wa rambirambi kwa ajili ya tukio hilo.Hii ni amri halali ya kiongozi wa mkoa na anayekiuka anaweza kuadhibiwa.

Naamini mkuu wa mkoa alisitisha zoezi hili ili kudhibiti wajanja wanaoeeza kutumia fursa hii ya msiba wa kitaifa au kimkoa kwa manufaa yao binafsi yakiwemo ya kifedha na kisiasa.

Sasa basi kwa kuwa ni wazi Meya au Chadema alikuwa kwenye muendelezo wa kukusanya rambirambi...KIMYAKIMYA ni wazi amekiuka kwa makusudi amri na maelelkezo halali na pia kuna uwezekano anafanya hivyo kujikusanyia fedha kwa maslahi zaidi ya wafiwa.

Je, ni lini sasa chadema watasitisha ukusanyaji huu wa rambirambi wa chini ya kapeti na ni lini basi watatutangazia kiasi walichokusanya na kukiwasilisha kwa walengwa?

We ulitakaje??
 
Back
Top Bottom