CHADEMA kama mna mkataba na Seif kujiunga nanyi nendeni mahakamani laa sivyo ni dua la kuku

Umerudi tena mwana propaganda hahaha.
Endelea kukaza kuwaamisha watu kuwa chadema ndio inahangaika na maalim..
Toka maalim ahamie act .ccm mnato mabandiko na matamko kama million hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchochezi we Lumumba idiot. Sisi CHADEMA tunaunga mkono Maalim kuhamia ACT. Kama mmetumwa kuchochea ugonvi na ACT mmekwama. Tafuteni janja nyingine.
 
Mkuu ni hujanielewa au?
Mm sipingi maalim kuhama.. ila namshangaa huyu kada anae kazana kutaka kuaminisha watu kwia eti chadema wameumia maalim kwenda act
Acha uchochezi we Lumumba idiot. Sisi CHADEMA tunaunga mkono Maalim kuhamia ACT. Kama mmetumwa kuchochea ugonvi na ACT mmekwama. Tafuteni janja nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Hali si shwari tena kila mahali wafuasi na viongozi wa Chadema wamejikita kutoa laana,ramli na dua mbaya zikitaka muungano wa Sefu na Zitto usifanikiwe.

Wengi wamesikika wakisema "Seif hana shukrani" "ooh ACT si wapinzani"..."Oohh Zitto katuzunguka"...."ohhhhhhh hawatafika mbali"...."..ooohh Sefu ni CCM"..na wengine wamehalalisha hoja zao kutumia rekodi za video zilizoonesha jinsi wabunge wa Chadema wakitoka nje huku wakimdhihaki Dr.Ally Shein.

Ningeshauri Chadema kama wana mkataba wowote unaombana Seif kuwa akishindwana na CUF ahamie Chadema wamfungulie keshi mahakamani ili kumzuia kuwa mwanachama wa ACT kuliko kuendelea kutoa povu na vilio.

Laa sivyo kuliko kulialia ni Bora wajipange.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi sauti yako ina harufu ya ushuzi
 
Ila kuna mambo ukitafuta mantiki unaweza kuikosa.

Vyama vya upinzani vinawezaje kuexist bila kupingana wakati vyote vinatafuta kuungwa mkono?

Mfumo wa vyama vingi unachekesha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna MwanaChadema aliye na mkataba na Seif kujiunga na Chadema as long as ACT ni chama cha upinzani Seif amefanya maamuzi sahihi na amewapiga CCM chenga ya mwili.
Zitto lazima alipe kikasasi mlimdhalilisha sana mlipomfukuza. Yeye ndiye KUB ajae
Chadoma ubaguzi ukuu mkidhani mmeandikiwa kuwa chama kikuu cha upinzani. Mnaloooooo
 
Zitto lazima alipe kikasasi mlimdhalilisha sana mlipomfukuza. Yeye ndiye KUB ajae
Chadoma ubaguzi ukuu mkidhani mmeandikiwa kuwa chama kikuu cha upinzani. Mnaloooooo
hakuna cha kisasi wala bibi yake kisasi.

UKAWA inaihitaji ACT na ACT inaihitaji UKAWA.

CCM mmeanza kuharisha maharage hadi mmesaini sheria kandamizi upesi-upesi ila tayari wapinzani wana nguvu mnoo kwa colaboration hizi zilizoanza.
 
Zitto lazima alipe kikasasi mlimdhalilisha sana mlipomfukuza. Yeye ndiye KUB ajae
Chadoma ubaguzi ukuu mkidhani mmeandikiwa kuwa chama kikuu cha upinzani. Mnaloooooo
Hahaa watu mnavyolazimisha. Mtafikiri mna undugu na zitto.
Kulipa kisasi au lah inategemeana na personality ya mtu husika. Si wote ni watu wa visasi.
Namkubali. sana zitto kwa post zake..
Sijaona mahal kalipiza kisasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom