CHADEMA, kama Lowassa ni jembe Mbona hamumpi Ukatibu Mkuu?

Hivi wewe mtu mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Lowassa ameshaoa na anaheshimu ndoa yake,na hana mpango wa kuoa mke wa pili. Mwombe Mungu akupe mume mwema wa size yako dada yangu.
Umetoka nje ya mada
Aoe asioe hana faida yeyote na Watanzania huyo
 
Lowasa awajibike kwa Mbowe? That will never happen. Sasa hivi ana cheo cha ngombea urais ambacho unofficially ni kikubwa kuliko cha Mbowe, ndo maana alipewa nafasi ya kuweka wabunge wake wa viti maalum, na ndo maana siku anachukua form ya Chama ya urais pale ufipa Mbowe alimsindikiza akapande gari aondoke, kama kina Mangula wanavyofanya Kikwete anapoenda Lumumba.
 
Huu sio UKWELI kwani Mbona Dk slaa aligombea urais na bado aliendelea na majukumu ya ukatibu mkuu?
 
Hivi wewe mtu mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Lowassa ameshaoa na anaheshimu ndoa yake,na hana mpango wa kuoa mke wa pili. Mwombe Mungu akupe mume mwema wa size yako dada yangu.
Majibu yako yanathibitisha unyumbu wako na jamii ya watu ambao mnawasupport pia nakupa pole kwani akili yako inatosha kuvukia barabara tu alafu nasikitika kuchangia nchi na watu wa aina yako
 
Wananchi waliamua vinginevo au ccm ilimpora ushindi wake?

Mnapenda kuwasingizia wananchi eeh
 
Majibu yako yanathibitisha unyumbu wako na jamii ya watu ambao mnawasupport pia nakupa pole kwani akili yako inatosha kuvukia barabara tu alafu nasikitika kuchangia nchi na watu wa aina yako
Haya kachukue buku saba yako kwa Nape ukale kisha ukalale.
 
Tatizo mnakuja humu JF wakati hamna maandalizi ya kutosha as if mnakuja kucheza pool table, mnaleta majibu mepesi mepesi kwenye mambo yanayotaka uchambuzi wa kina.
Alafu mnakimbilia kusema ooh lumumba.... Lumumba...

Kuweni makini na mtafakari mustakabali wa mnachoita chama chenu, badala ya kukimbilia kusema mnaibiwa kila siku wakati mchawi mnaye ndani yenu na mnajitia vibanzi machoni Ili msione UKWELI
 
Kweli kabisa mmoja ni Mr clean na mwingine a.k.a jipu, ahsante kwa kunifungua macho mkuu
Hivi Kumbe nawe akili yako finyu, hv hata picha unashindwa kutazama! Et jipu, huoni majipu yanayotumbuliwa je na mh. Lowassa umeskia kaguswa au kuongelewa? Kama lowassa ni jipu kwann pombe asimtumbue? Halafu unajiona unajua kweli, kama ni elim haijakusaidia ww, zero brain kabisa ww, unafikiria hapo hapo ulipo
 
Ahsante kaka, suala ni kwamba magu hajaanza kudeal na majipu viporo Bali anadeal na majipu ambayo ni vigingi halisi kwa maendeleo ya nchi kwa wakati tulio nao.

Ila ni suala la muda tu, kumbuka suala la Richmond hakikuisha bungeni Bali lilizimwa kisanii mambo yote yako kwenye records, kwa hiyo JPM akiamua kutimiza maelekezo ya bunge kwa wakati ule, basi lolote laweza kutokea na huo ndio UKWELI
 
Back
Top Bottom