babatovu
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 2,739
- 1,602
Labda wewe pro CHADEMA kwa mtazamo wako ungependekeza SG awe nani ambaye hata Ccm wenzio wangekaa kimya?Tunasubiri matokeo ya Majaribio???
Soon tutayapata...ha ha ha...tumpe muda!!
Labda wewe pro CHADEMA kwa mtazamo wako ungependekeza SG awe nani ambaye hata Ccm wenzio wangekaa kimya?Tunasubiri matokeo ya Majaribio???
Soon tutayapata...ha ha ha...tumpe muda!!
Swali zuri mkuu na bahati nzuri mimi huwa simung'unyi maneno....Labda wewe pro CHADEMA kwa mtazamo wako ungependekeza SG awe nani ambaye hata Ccm wenzio wangekaa kimya?
Wewe ndio huwajui akina Mnyika, Zitto waliyofanya Chadema kabla ya 2005 ...pengine umeanza kufatilia siasa za upinzani majuzi ....Dr Slaa ndio usiseme ...unajua alikuwa na cheo gani kabla ya kuteuliwa kuwa katibu mkuu? Acheni porojo ....mnaua chama kwa njia ile ile iliyopitia NCCR .....Unajua Zitto na Mnyika walikotokea? Ulimfahamu vizuri Tundu Lissu kabla ya mwaka 2010? Ulidhani kuwa Dr. Slaa angekuja kuwa hivi kabla ya 2005? Jipe muda ndipo useme!!
Si mnataka kife na tangu mwanzo mlitabiri kinakufa, sasa mnahangaika nini kutaka kisife? Mnahangaika sana jamani haa, jengeni ccm iendelee kuwa imara huku kwa mgonjwa chadema anaekufa kwa nini mnapoteza nguvu kumpigia ngoma acheze?Wewe ndio huwajui akina Mnyika, Zitto waliyofanya Chadema kabla ya 2005 ...pengine umeanza kufatilia siasa za upinzani majuzi ....Dr Slaa ndio usiseme ...unajua alikuwa na cheo gani kabla ya kuteuliwa kuwa katibu mkuu? Acheni porojo ....mnaua chama kwa njia ile ile iliyopitia NCCR .....
Huoni aibu post ina masaa 5 michango 29 tu?Wasalaam...
Kwa furaha kabisa napenda kusema kuwa mimi nilikuwa PRO CDM au PRO Slaa kabla ya gia za angani kupanguliwa.
Nasikitika sana kuona Gia za Angani zilivyopelekea maafa makubwa ya kisiasa ya Chama cha upinzani kilichovumilia mikikimikiki mikubwa kutoka kwa CCM kwa miaka takribani 20 lakini kikaufyata mkia ndani ya kipindi cha chini ya mwezi mmoja kwa mwanaCCM aliyekatwa na CCM.
Hayo ni masikitiko ya wengi hasa hasa kwa wale wanaoitwa Chadema Asilia.
Uteuzi wa katibu mkuu wa 'MAJARIBIO' wa Chadema ni kituko kingine cha kisiasa nchini baada ya kile cha kupokea yule aliyeimbwa kama fisadi na kumfanya kuwa mgombea wao,Namuita katibu mkuu wa majaribio kwa kuwa ni wazi ndani ya kipindi cha muda mfupi tu mwenyekiti Itabidi arejee tena akiwa na jina la katibu mkuu haswa mwenye haiba,weledi,uzoefu,ushawishi na msimamo unaoendana na ukatibu mkuu sio tu wa chama cha siasa bali wa Chama cha siasa kinachoendesha siasa za kiharakati.
Ni katibu mkuu wa majaribio kwa kuwa kasi iliyofikiwa na Chadema kipindi Dr Slaa akiwa katibu mkuu ilikuwa ni kasi yakipekee...ilikuwa ni kasi iliyowaamsha CCM na kuja na operesheni vua gamba....ilikuwa ni kasi ya kufa mtu iliyofanya CCM ibadili safu za uongozi....
ilikuwa ni kasi ya ajabu iliyomfanya Kinana na Nape waanze utalii wa ndani!!
Kiufupi naweza kusema Dr Slaa ali-set standards ndani ya Chadema kiasi cha kuanza kuona makatibu wakuu wa Chadema wakiongea ama wakitenda mithili ya Dr Slaa.
Inawezekana Mbowe amemuweka katibu mkuu kwa jicho la ukanda yaani akijaribu kuiteka kanda ya ziwa....ingawa aliyemuweka hana ushawishi wowote katika kanda hiyo.
Inawezekana Mbowe amemuweka Msomi ili avute wasomo lakino pia ni ukweli usiopingika kuwa jamaa hana ushawishi kwa wasomi wa kada yake,hana ushawishi wa kitaasisi ya usomi mithili ya alivyo Baregu au Kitila Mkumbo.
yaani CV yake inataka kulazimishia usomi wakati sio msomi kihivyo!...Nimepenyezewa kuwa hata huo udaktari bingwa alioundika kwenye CV yake hakufanikiwa kuumaliza(MMED ANAESTHESIOLOGY)
Chadema imepiga gia nyingine ya anga na itaangukia pua kama ilivyoangukia pua oktoba 2015.
Kwa bahati mbaya sana wakati Chadema inafanya majaribio ya SG ,CCM inazidi kubebwa na jeshi la mtu mmoja ambaye ni mwenyekiti mtarajiwa JPJM.
Yaani ungeniuliza ni kipindi gani chadema walitakiwa kufanya majaribio basi ningesema ni vipindi vyote ila isiwe kipindi hiki cha Magufuli.
VIATU VYA DR SLAA HAVIVALIKI!!!!
Thread ya Moto hii...usiingie kichwakichwaHuoni aibu post ina masaa 5 michango 29 tu?
CCM haijamjaribu Magufuli wewe...Magufuli alijijengea umaarufu toka alipoingia ....1995.We ni gamba tu hata kama umewahi kuwa CDM,jadili majaribio ya CCM kumpa urais Magufuri wakati hajawahi kuwa rais popote,ya CHADEMA TUACHIE WENYEWE TUTAMALIZANA.....sawa gamba
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, imedoda dadeeeeekiiiiiiiiiThread ya Moto hii...usiingie kichwakichwa
CCM haijamjaribu Magufuli wewe...Magufuli alijijengea umaarufu toka alipoingia ....1995.
Kweli kuwa Nyumbu kunapoteza ufikiri!!
Nakuheshimu sana japo sikujui,chunga ulimiCCM haijamjaribu Magufuli wewe...Magufuli alijijengea umaarufu toka alipoingia ....1995.
Kweli kuwa Nyumbu kunapoteza ufikiri!!