CHADEMA 4,000 kumiminika Dodoma July 23

Taarifa za Magazeti zinaripoti kuwa inategemewa vijana zaidi ya 4,000 wanategemewa kuingia Dodoma kabla ya July 23,ili kusaidia polisi kuzuia mikutano ya CCM.Vijana hao wa Chadema wanategemewa kutoka pande zote Tanzania.Viongozi wa Chadema mikoani wametoa taarifa kuwa tayari wawakilishi wamepatikani kwa wingi tayari kwa kusaidia polisi
Nchi yetu inaelekea kusiko kwema. Tu ache ubabe tuepushe kuvunjika kwa amani Nyerere aliyotuachia. Comments nyingi hapa pia ni za kibabe. Magari ya washa washa hata yawe million Hayataweza kuzuia machafuko yakitokea. Tumeona Mifano mingi katika nchi za wenzetu na always umma unashinda. Ushauri kwa raisi wetu ni kuwa atengue alichosema aachie demokrasia ifuate mkondo wake ili mradi katiba yetu inaruhusu. Hata mzazi ukimnyanyasa mtoto akishakuchukia hata umchape hatakusikiliza. Hivyo hivyo kama wananchi wakiichukia serikali hata uwamwajie washawasha hawataogopa. Chonde chonde viongozi wa nchi yangu ninayoipenda acheni kufanya mioyo yenu migumu. Please lead the country according to the constitution and give Liberty to the people of speaking and doing whatever they're deemed to do as long as they are not breaking the law. TUACHE UBABE. Mungu ibariki Tanganyika.
 
Hapo Dodoma yawezekena yakatokea machafuko makubwa sana kama tahadhari haitachukuliwa ikizingatiwa UVCCM nao wamejigamba kwamba hawatavumilia wenzao wa BAVICHA kukanyaga viwanja vya Whitehouse.
Hakuna machafuko..subiri uone..
 
Taarifa za Magazeti zinaripoti kuwa inategemewa vijana zaidi ya 4,000 wanategemewa kuingia Dodoma kabla ya July 23,ili kusaidia polisi kuzuia mikutano ya CCM.Vijana hao wa Chadema wanategemewa kutoka pande zote Tanzania.Viongozi wa Chadema mikoani wametoa taarifa kuwa tayari wawakilishi wamepatikani kwa wingi tayari kwa kusaidia polisi
Huo ndio moyo wa kujitolea kwa vijana wetu ili kulisaidia jeshi letu la polisi,sifa za pekee ziwaendee popote pale walipo
 
GWAJIMA ALISEMA KUNA WATU HAWATAKI MAGUFULI APEWE UENYEKITI......

HONGERENI TUMEWAJUA......
Katika hao vijana shupavu wenye moyo wa kujitolea kuisaidia polisi pia wapo wengi kutoka ccm
 
Hapo Dodoma yawezekena yakatokea machafuko makubwa sana kama tahadhari haitachukuliwa ikizingatiwa UVCCM nao wamejigamba kwamba hawatavumilia wenzao wa BAVICHA kukanyaga viwanja vya Whitehouse.

Mimi nashangaa sana kuona chadema na
bavicha wanajiandaa kwenda kuhujumu mkutano
mkuu wa CCM.!!Nafikiri nikutokuelewa
kabisa.msemaji wa CCM alishasema kuwa lengo
la mkutano mkuu ni kumkabidhi uenyekiti mh
Rais JPM .watakaohudhulia nafikiri ni
CC,kamatii kuu ,yawezekana na watu maaluum
(waalikwa) .mkutano mkuu huu ni tofauti na
mikutano ya hadhara ambayo watu hujenga
jukwaa na kuanza kuwahibiria watu
mchanganyiko ,vijana kwa wazee,wanaume kwa
wanawake,wasomi na wajnga,wafuasi na
wasiyowafuasi nk.katika mutano huu kunaweza
kutokea vurugu endapo mhubiri huyu ataongea
kitu ambacho kinawaudhi waliyokuja
mkutanoni!!!
ni wazi kuwa wako watu ambao hawapendi
kuona rais wetu mpendwa anapewa uenyekiti
wa chama kwa sababu wanahofia
kutumbuliwa,wanahofia kasi yake ambayo
itamfanya atengeneze chama kipendwe zaidi na
wananchi kwa wingi (wafanyakazi na wakulima)
na kuwa tishio kuu katika uchaguzi wa 2020!!
ikumbukwe kuwa CCM katika miaka ya hivi
karibuni ilichukiwa sana kwa sababu ya ufisadi !
wako watu hata ndani ya chama tawala
walizoea kupata uongozi kwa njia isiyohalali
(rushwa).watu wajinsi hii hawapendi kabisa
kuona Rais JPM anashika kijiti!!!ndo hao
wanajiandaa kuhujumu mkutano huu ambao una
manufaa makubwa kwa chama na taifa kwa
ujumla!!!
watu wanasema eti Rais amezuia mikutano ya
vyama vya siasa!!hili nafikiri halikueleweka
vizuri!!mfano ilikuwa si jambo la busara kutoka
bungeni unaacha bunge likiendelea halafu
unaitisha mkutano wa hadhara kupinga serikali
,au kuajadili bajeti nje ya bunge .mahali
pakujadili au kuipinga serikali kwa kipindi cha
bunge ni bungeni ndani ya jengo la bunge !!!
Niwaombe viongozi wa chadema na bavicha
waache kabisa mara moja mpango huu dhalimu
zidi ya CCM na hasa zidi ya Rais !!!madhara
makubwa yanayoweza kutokea endapo
wataendelea na mpango huu viongozi wa
chadema wakubali kutwishwa zigo hili la
kusababisha umwagaji damu(ikitokea) maana
imesikia wakisema wanataka kutengeneza
ushahidi wa kupeleka ICC !!!!kama wanaona
wanaonewa njia sahihi ni kwenda kudai haki
mahakamani si kufanya vurugu!!!viongozi wadini
nao watoe mchango wao kwa kuwakemea watu
hawa wanaojiandaa kufanya vurugu.wazazi
msiache kuwakemea watoto wenu ambao
wanajingiza katika siasa ambayo hawaielewi !!
sisi wote tudumishe amani ambayo Mungu wetu
ametukirimia sisi watanzinia
asanteni
 
Chama Cha Makaburu (CCM). Wanajiona wao ni bora zaidi kuliko wengine. "Hao ni makaburu tu" in Mwl Nyerere's voice.
 
Mimi naomba Mbowe, Lissu, Lema na Sugu wawe frontline kudhihirisha wamedhamiria kuliko kutanguliza watoto wa wengine kwenda kuvunjwa miguu.
Wewe mbona unashindwa kutumia ubongo ulio pewa na mungu?umeambiwa ni bavicha!
 
ccm wamdhibiti, wasipomdhibiti wapinzani tutamdhibiti,labda ndio wanaenda kumdhibiti!

Back
Top Bottom