habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,743 Jan 30, 2016 #21 We mama ongea uongeavyo lkn ukumbuke kutubu maana wenzio wengi waliropoka mwisho wa siku wakanyamaza mazima, mungu hadhihakiwi
We mama ongea uongeavyo lkn ukumbuke kutubu maana wenzio wengi waliropoka mwisho wa siku wakanyamaza mazima, mungu hadhihakiwi
F fattys JF-Expert Member Jan 1, 2014 672 286 Jan 30, 2016 #22 Ngumu kumeza. Suala Zanzibar ni complex number.