CCM yawapiga marufuku ‘Chawa wa Mama’

20230806_074546.jpg
 
Chadema hawana hata hiyo hela zaidi ya ruzuku.

Hata hicho cheo unapigania hakipo tena inabidi uendelee kulima viazi na kabeji hapo uporoto hamna jinsi.
Huyu jamaa nasikia kwao ni kibaigwa sehemu ambayo bado wanaamini kuwa Tanzania bado ipo kwenye mfumo wa chama kimoja yaani ccm.
 
Wivu tu, hao viongozi wanahofu siku moja nafasi zao zitakuja chukuliwa na chawa wa mama. Maana chawa wa mama wanakuwa popular zaidi, so siku uchaguzi ukitokea chawa wakigombea wataibuka washindi kirahisi. Siasa hizi bwana lazima ulinde nafasi yako.
Sasa umekataa kitu gani?😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom