GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,429
- 120,789
Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile.
Lakini pia ni Uthibitisho usio na Shaka kuwa kumbe wale Watesi (Critics) wote wa Watawala wa nchi na Serikali za CCM ambao ama huwa wanapotea kwa kutekwa au hata kukutwa wameuawa (wamekufa) kwa 90% Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinahusika.
Pia Soma:
- Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
- Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali