Ccm wenzangu tuache unafiki,kama tunalia na mikataba ya madini,tuweke wazi ya ununuzi wa ndege!

Hivi nyie watu wengine niwakenya au wanyarwanda nini, mbona kila kitu mnakifanya kishabikishabiki sana, kwasasa ni issue ya madini kwanza hayo mengine baadae.
Hapana mkuu ccm huwa wanachosha sana haya ya ndege hawadai mkataba ila cku akija rais mwingine akasema tuliibiwa utaskia wanamuita mzalendo na wanapiga vigelegele kuwa amekuwa nyerere wa pili!!!! Hivyo ni wakati ssa waonyeshe uzalendo wao wadai mikataba yote hii ya kisirisiri iwe wazi hta ile 17 aliyosainishwa kikwete na wachina ukiwemo wa bomba la gesi
 
Consultation "alifanya", maana aliomba dharura ya dk 5 akatoka aliporudi wamekwishapitia executive summary wakafanya maamuzi, yakatokea yaliyotokea.

Mi nadhani kama professor unapokea thesis unahitaji kujiridhisha na mambo ya msingi kama methodology imefuatwa, results na discussion zinashawishi? Conclusions based on the results ziko sawa? Ndo hapo sasa unaipitisha na kama inakuwa public basi itolewe ikasomwe. Vinginevyo hata wewe professor utaumbuka maana huenda takwimu zimepikwa halafu hugunduwi.
Mkuu,hii nchi inaongozwa na siasa,ripoti ya vitabu vitatu unaipitia kwa dakika 5!
 
Naona tunaweka double standard,tunajifanya kulia na kulaumu uongozi uliopita kuhusu mikataba ya madini na tulivyoibiwa,mbona hatuhoji mikataba ya ununuzi wa ndege iliyosainiwa juzijuzi?

Nani kaiona?

Tuache unafiki
Kwenye ndege Dalali ni Bashite
 
Hivi nyie watu wengine niwakenya au wanyarwanda nini, mbona kila kitu mnakifanya kishabikishabiki sana, kwasasa ni issue ya madini kwanza hayo mengine baadae.
Noooooo! Twende nayo pamoja. Ninyi mna hila sana. Mkinyamaziwa halafu baada ya miaka kupita likianzishwa mtakuwa wepesi kusahau na kusema... "aaa jamani yale yeshapita...!" The time is now!
 
Hapana mkuu ccm huwa wanachosha sana haya ya ndege hawadai mkataba ila cku akija rais mwingine akasema tuliibiwa utaskia wanamuita mzalendo na wanapiga vigelegele kuwa amekuwa nyerere wa pili!!!! Hivyo ni wakati ssa waonyeshe uzalendo wao wadai mikataba yote hii ya kisirisiri iwe wazi hta ile 17 aliyosainishwa kikwete na wachina ukiwemo wa bomba la gesi
Ufisadi mkubwa upo kwenye ununuzi wa ndege kwa cash ambapo Bashite na GSM ndiyo Madalali wakuu
 
Hivi nyie watu wengine niwakenya au wanyarwanda nini, mbona kila kitu mnakifanya kishabikishabiki sana, kwasasa ni issue ya madini kwanza hayo mengine baadae.
Ndugu yangu achana n hiyo bunch of political failures cum EL ulipo tupo social media team coordinated by B 14h00 in a background camera. These are their last kicks
 
Kama tunafumua tufumue mikataba yote.

NBC BANK, NHC KUUZA NYUMBA, TCC, BOMBADIER MPYA, MINERALS &GASES, VODA, AIRTEL, TIGO, CRDB, MWATEX, MUTEX, SUNGURA TEX, NYANZA CORPORATION, UDA, NMB, nk. Nyerere alikuwa anajenga nyie mnashindana kuuza tu.

Hata TANROADS wa JPM wanatupiga hela sn na Wachina wake na wahindi wake wa NYANZA ROADS kwa barabara chini ya kiwango.
 
Naona tunaweka double standard,tunajifanya kulia na kulaumu uongozi uliopita kuhusu mikataba ya madini na tulivyoibiwa,mbona hatuhoji mikataba ya ununuzi wa ndege iliyosainiwa juzijuzi?

Nani kaiona?

Tuache unafiki
Waliohoji mikataba ya madini kipindi kile walipuuzwa na kutafutwa ili wang'olewe kucha na kutobolewa macho kama tunavyopuuzwa na kusakwa tunaohoji UHALALI WA UNUNUZI WA NDEGE KWA KUTUMIA MAWAZO YA MTU MMOJA TU .
 
Naona tunaweka double standard,tunajifanya kulia na kulaumu uongozi uliopita kuhusu mikataba ya madini na tulivyoibiwa,mbona hatuhoji mikataba ya ununuzi wa ndege iliyosainiwa juzijuzi?

Nani kaiona?

Tuache unafiki
Msisahau na kale ka MV Dar Es Salaam mlikokapaki pale Navy.
 
Back
Top Bottom