Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
Kama chadema wanapotumia mabilioni kuandamana nchi nzima ,lkn wakiambiwa jengeni ofisi ya chama, wanasema hatuna hela.!!!
CCM wamejenga lini? Hawajawahi japo wana serikali na hazina yote hakuna jengo. Lumumba imejengwa kwa nguvu ya wananchi wote hata ukikataa. Kisha hata kama wangekuwa wamejenga hiyo lumumba, wananchi tunanufaikaje na hayo majengo? Wanachama wa magamba wananufaika nini na hiyo show off isiyokuwa na production yoyote!