nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,931
Utangulizi wangu una mada moja kwa mbili ili kuvileta vitu viwili
Wakati Mama Samia anatawazwa kuwa mkuu wa nchi, watu wengi kwenye mitandao tofauti, JF ikiwa kinara walimshauri sana kwa nguvu kubwa kuwa avunje Baraza la Mawaziri na kuliunda upya.
Kwa kufanya ivo angekuwa amejiwekea heshima na kujiamini ktk kuongoza nchi, kama haitoshi angekuwa ameondoa kundi la mtangulizi wake lililoonekana kutomkubali hata kabla hajaapishwa.
Rais alicheza na mbwa na sasa anaingia nae msikitini.
Alicheza na nyani sasa anakaribia kuvuna mabuwa.
Hajachelewa sana, achukue hatua.
2. Waliokuwa wakijenga mnara wa babeli walikusudia kufika alipo Mungu (kwenye makazi yake)
Mungu alichanganya ndimu zao wakatofautiana lugha, fundi akisema lete maji, saidia alileta tofari.
Ukawa mwisho wa ujenzi.
CCM lugha zimechanganywa na Mungu mwenyewe.
TUSUBIRI MWISHO