BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,114
- 10,905
Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani.
Now moshi ni chafu imejaaa wachuuzi kila kona, sehemu za wazi zimegeuzwa kuwa magulio ya wamachinga au stendi za Bajaji.
Dar, Arusha na Mwanza huko ndio kabisa, Miji ilikuwa na Viwanja vya wazi now day ni masoko ya Wamachinga. Yaani kila upenyo mjini either ni stend ya Bajaji, Pikipiki au soko la Machinga.
Miji imejaaa frame ni frame kaunzia unavyo i via mjini hadi unapo enda nyumbani, makanisani, kambi za jeshi, kwenye makazi ya watu kote ni full frame.
Makazi ya watu au maeneo ya makazi ya watu Duniani kote ni maeneo tulivu, ni maeneo watu wanakaa kupumzisha akili baada ta kazi za kutwa nzima mjini. Makazi ya watu ni maeneo sana utasikia kelele za ndege wa mwituni tu basi.
Tanzania sasa haijulikani ni wapi eneo la makazi ya watu na wapi viwanda, make ni kawaida kukutana na kiwanda kwenye makazi ya watu, Night club ziko kwenye makazi ya watu na zinapioga kelele usiku kucha, Makanisa na misikiti yako kwenye makazi ya watu na ni full kelele kutwa nzima.
Makazi ya watu ni magurio yamejaa Frame, hakuna tofauti kati ya makazi ya watu na masoko.
Miji haina bustani na maenei yalio pasea juwa bustani ni masoko ya wanyonge,
Barabara za waenda kwa miguu ni barabara zinazo heshimiwa Duniani kote ila Bongo hizo ni eneo la Wanyonge kufanyia biashara, au ndio parking rasimi za bajaji na pikipiki.
Miji imeharibiwa sana na ccm imeharibiwa kw akiwango cha kutisha.