CCM Mnapeleka wapi Fedha mnazopata kwenye Makaa ya Mawe Ruvuma? Wananchi tunataka kujua mnalipa kodi kiasi gani? Mmefanya Mradi upi wa CSR?

Dawa yao ni hiyo tu..itisha ukaguzi na uchunguzi miaka 15 au hata 20 nyuma..hakuna cha tiss, pccb sijui mwanajeshi..wote lazima wa-face justice!
Kweli kabisa. Tena huu mradi waliuanzisha kipindi cha Magufuli. Ndo kina Bashiru na Polepole walipopatia utajiri wa kutisha.

Wala haitakuwa kazi ngumu kugundua wameliibia Taifa kiasi gani? Mradi huu unaingiza billions of Money ambazo zinaliwa na Viongozi wa Juu wa CCM
 
CCM wanamiliki mgodi mkubwa sana wa Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma. Haifahamiki pia ni kwa namna gani na kwa taratibu zipi za manunuzi walipata leseni na haki ya kufanya mradi huu mkoani humo?
View attachment 3301330

Kwenye mgodi huo ambao wanafanya uchimbaji kwa ubia na Kampuni moja ya nje ya Nchi, Makaa ya Mawe yanachimbwa kwa Masaa 24 na kuuzwa nje ya Nchi kwa kusafirishwa na maroli muda wote kuelekea Bandari ya Mtwara (Kwenda Bara la Asia) pamoja na nchi za Rwanda, Uganda na Kenya.

Mwaka 2017 Nchi yetu ilipitisha Sheria za Ulinzi wa Maliasili za Nchi na Utajiri Asilia.

Moja ya vifungu katika Sheria hizo yanazitaka Kampuni za Madini kuweka fedha zao nchini na kulipa kodi stahiki.

Pia Sheria zile ziliwataka wawekezaji kufanya miradi ya huduma kwa Jamii kwa lazima.

Jambo linalosikitisha, Katika Mgodi wanaohodhi CCM huko Ruvuma, hakuna mwananchi anayejua wanalipa kodi kiasi gani? Hakuna taarifa za Wazi za Mapato yanayopatikana kutokana na Biashara hiyo wanayofanya ya Maliasli za Taifa.

Hakuna mradi wowote wa kijamii waliofanya. Hili likiwa ni takwa la kisheria kama zilivyopitishwa na Bunge. Vijiji vinavyozunguka mradi huo na Mkoa wa Ruvuma kwa pamoja wananchi wana umaskini wa kutisha.

CCM watoke hadharani waseme. Kwa nini wanawabia Wananchi wa Tanzania Maliasili zao? Kwa nini Wanachimba Madini ya Wananchi alafu hawalipi kodi Stahiki wakati wanauza madini hayo Nchi za Nje ikiwemo Kenya, Uganda, Rwanda na Bara la Asia na kupata fedha nyingi sana? Fedha hizo wanapeleka wapi?

CCM watoke waseme hadharani. Je kukamatwa kwa Tundu Lissu Mkoani Ruvuma ni kwa sababu aliongelea suala la Wizi wa Maliasili za Taifa ambazo ni mali za Wananchi kunakofanywa na CCM na wabia wao huko Ruvuma?

Tunasuburi majibu.

Mods. Naomba msifute huu uzi. Huu uzi ni very sensitive maana unahusu namna CCM wanavyowaibia Watanzania na kulifisadi hili Taifa.

Let's bring back JF ya 2000's
Punguani kama nyie mnajua nini? Kama hamjui sheria za uwekezaji zinavyotekeezwa kwenye Madini Kuna Mimi Cha maana mnaweza eleza Kwa ufasihi?
 
Sure..! ndio miradi inawapa kiburi ccm na watumishi wa umma kudhani wanaweza fanya lolote na hakuna kitu kitafanyika dhidi yao sabb wanazo pesa wanazopata kwa njia haramu km hii..!
Wapo kwenye dhahabu pia..January waligawiana vitalu kwenye hifadhi ya kigosi..kwenye majina utaona ccm geita, ccm bukombe..sijui uwt mbogwe mambo ya ajabu kabisa!
Bora huko wanafanya kwa kificho. Kwenye huu mradi wanaliibia Taifa mchana kweupe na bila kuogopa chochote kile.
 
Punguani kama nyie mnajua nini? Kama hamjui sheria za uwekezaji zinavyotekeezwa kwenye Madini Kuna Mimi Cha maana mnaweza eleza Kwa ufasihi?
Lazima mtuite sana punguani maana Viongozi wenu wachache wanajineemesha kwa namna ya kutisha kupitia rasilimali za Taifa.
 
Punguani kama nyie mnajua nini? Kama hamjui sheria za uwekezaji zinavyotekeezwa kwenye Madini Kuna Mimi Cha maana mnaweza eleza Kwa ufasihi?
Hakuna uwekezaji wenye element za uporaji ukaita uwekezaji unanufaisha nchi..mwizi ndie anakimbilia defence ya kusema hamjui kitu!
 
Mambo gani ya uongo yapo kwenye huu uzi?

Mgodi wenu wa Tujitegemee ulipo Mkoani Ruvuma umeingiza mapato kiasi gani? sema hapa?

Mmefanya mradi upi wa CSR kwa mujibu wa Sheria?

Kila siku mnafanya biashara masaa 24 kwa kuuza makaa wa mawe mnayochimba kupeleka Kenya, Uganda, Rwanda na mengine mnayasafirisha kwa meli kupitia Bandari ya Mtwara.

Tuambieni mnalipa kodi kiasi gani? Mnatoa Mrabaha Kiasi gani? Mnalipa kodi kwenye Halmashauri husika kiasi gani?
Hii ni moja ya kashfa kubwa sana. Walau umethubutu, ipo siku watatajana wanaonufaika achilia mbali chama.
 
Kampuni za kiTanzania za Haulage logistics katika kusafirisha makaa ya mawe

1744448754904.jpeg

1744448773705.jpeg
 
CCM wanamiliki mgodi mkubwa sana wa Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma. Haifahamiki pia ni kwa namna gani na kwa taratibu zipi za manunuzi walipata leseni na haki ya kufanya mradi huu mkoani humo?
View attachment 3301330

Kwenye mgodi huo ambao wanafanya uchimbaji kwa ubia na Kampuni moja ya nje ya Nchi, Makaa ya Mawe yanachimbwa kwa Masaa 24 na kuuzwa nje ya Nchi kwa kusafirishwa na maroli muda wote kuelekea Bandari ya Mtwara (Kwenda Bara la Asia) pamoja na nchi za Rwanda, Uganda na Kenya.

Mwaka 2017 Nchi yetu ilipitisha Sheria za Ulinzi wa Maliasili za Nchi na Utajiri Asilia.

Moja ya vifungu katika Sheria hizo yanazitaka Kampuni za Madini kuweka fedha zao nchini na kulipa kodi stahiki.

Pia Sheria zile ziliwataka wawekezaji kufanya miradi ya huduma kwa Jamii kwa lazima.

Jambo linalosikitisha, Katika Mgodi wanaohodhi CCM huko Ruvuma, hakuna mwananchi anayejua wanalipa kodi kiasi gani? Hakuna taarifa za Wazi za Mapato yanayopatikana kutokana na Biashara hiyo wanayofanya ya Maliasli za Taifa.

Hakuna mradi wowote wa kijamii waliofanya. Hili likiwa ni takwa la kisheria kama zilivyopitishwa na Bunge. Vijiji vinavyozunguka mradi huo na Mkoa wa Ruvuma kwa pamoja wananchi wana umaskini wa kutisha.

CCM watoke hadharani waseme. Kwa nini wanawabia Wananchi wa Tanzania Maliasili zao? Kwa nini Wanachimba Madini ya Wananchi alafu hawalipi kodi Stahiki wakati wanauza madini hayo Nchi za Nje ikiwemo Kenya, Uganda, Rwanda na Bara la Asia na kupata fedha nyingi sana? Fedha hizo wanapeleka wapi?

CCM watoke waseme hadharani. Je kukamatwa kwa Tundu Lissu Mkoani Ruvuma ni kwa sababu aliongelea suala la Wizi wa Maliasili za Taifa ambazo ni mali za Wananchi kunakofanywa na CCM na wabia wao huko Ruvuma?

Tunasuburi majibu.

Mods. Naomba msifute huu uzi. Huu uzi ni very sensitive maana unahusu namna CCM wanavyowaibia Watanzania na kulifisadi hili Taifa.

Let's bring back JF ya 2000's
Cc Doctor Mama Amon
 
Uporaji inakuaje au ukoje with reference ya huko Ruvuma,hebu eleza.
1. Majina ya wamiliki wa kampuni hayajulikani..
2. Eneo la mradi wa kuchimba halijulikani kwenye makaratasi na uhalisia kwamba ni ekari ngapi..
3. Hakuna taarifa rasmi kuonyesha biashara inafanyika juu ya ununuzi wa makaa na pesa inayopatikana..taarifa za mali za ccm hazionyeshi kuna mapato kutoka huko..
4. Kwa nini kuuza nje makaa badala ya kuzalisha umeme? sabb kuuza kuna chances za kuficha taarifa kuliko kufua umeme..
 
POWER FROM COAL VISION

Ngaka Coal Power Station Tanzania

9 December 2021 — The Ngaka Coal Power Station is 270MW coal fired power project. It is planned in Ruvuma, Tanzania

1744449414739.jpeg

In March 2012 IEC signed an MoU with Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) for the development of a 120 MW to 200 MW power station with the Tancoal coal mine as the coal supplier. Construction was originally planned to begin in 2014. The MoU was extended in March 2013 and changed to a 200 MW power station.[8]

In a 2013 investor presentation, Intra Energy said 200 MW of the power station was in design and sited near the Tancoal mine, and planned for operation in 2017. The company said it was in discussion with Tanzania for an additional 120 MW power station in the north of the country.[8] As of 2014 IEC describes the power station on its website as stage 2 of its Ngaka coal project. Plans include a 200 MW coal-fired power station sited adjacent to the Tancoal mine, and a second power station of 120 MW proposed near the Malcoal mine in the country of Malawi.[9]

In March 2015 the Tanzania Minister for Energy and Minerals said plans were underway to construct a 600 MW coal plant to generate electricity from Ngaka Coal in Mbinga in phases, with the first 200MW to be generated by 2019. The tender for the project was expected to be floated in June 2015, and IEC's Tancoal was invited to bid on the project.[10] In June 2015 the Energy Minister said potential investors had quoted expensive tariffs that were deemed inviable for the project. Operation is still planned for 2019.[11]

In November 2015 IEC signed an MoU with Sinohydro for a 200 MW coal plant at Ngaka. It may be increased over time to 400 MW.[12]

In October 2016 Intra Energy signed a MoU with Sinohydro to develop a 2 x 135 MW coal plant at Ngaka. The two companies will form a Special Purpose Vehicle. Under the agreement, Sinohydro is the major project shareholder of the SPV and will conceive, build, finance, and operate the plant. Tancoal Energy will provide coal, estimated at 1.2 million tonnes per year at its mine located 7 km from the plant.[13]

In August 2017, talks recommenced with SinoHydro regarding the letter from the Minister of Energy and Minerals to move ahead on the Ngaka Power Station project. It was agreed to renew the MOU and establish a joint venture vehicle once equities are established.[14]
 
1. Majina ya wamiliki wa kampuni hayajulikani..
2. Eneo la mradi wa kuchimba halijulikani kwenye makaratasi na uhalisia kwamba ni ekari ngapi..
3. Hakuna taarifa rasmi kuonyesha biashara inafanyika juu ya ununuzi wa makaa na pesa inayopatikana..taarifa za mali za ccm hazionyeshi kuna mapato kutoka huko..
4. Kwa nini kuuza nje makaa badala ya kuzalisha umeme? sabb kuuza kuna chances za kuficha taarifa kuliko kufua umeme..
Unamjibu wa nini huyu kibaraka na mpuuzi? Unadhani hajui?

Hiyo kampuni hadi TRA inawasilisha taarifa za uongo ambazo ni tofauti na mzigo wanaochimba na kuuza ila ndo hivyo TRA hawawezi fanya lolote maana ndo Kampuni ya Chama cha Mapinduzi na Mgodi wanaumiliki wao.
 
Back
Top Bottom