Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,342
- 26,194
Inawezekana kutokana na mama kuwa chaguo la mungu kwa mara ya kwanza mwaka huu tumebahatika kupata watoto waliotimiza umri wa miaka 18 na wanasoma shule moja darasa moja, mungu mkuu na lolote chini ya giza linaweza kutokea.
Ushauri wangu mngewaelekeza walimu wasipeleke darasa zima kwenye kituo kimoja mtaa mmoja! Hata hao wazazi wa huo mtaa hasa akina mama wangeshituka kwa mungu huyo aliwezaje kuwapa ujauzito kwa pamoja mwaka mmoja! Walimu walitakiwa waligawe darasa kwenye mafungu ya wanne wanne mitaa tofauti kama tufanyavyo kwenye nyanya magengeni, hii hakuna ambaye angewashitukia.
CCM mnapolazimisha eti darasa zima na mwalimu wao wanakaa mtaa mmoja na wametimiza kigezo cha miaka 18 ni ujanja wa kijinga, na ujinga unakolezwa na mama kaupiga mwingi shule mwaka huu zimebahatika kuwa na watoto wa mtaa mmoja waliotimiza mika 18 wenye haki ya kikatiba kupiga kura huku kaka, baba, mama, dada, babu na bibi zao walioko magerezani wakinyimwa haki yao ya kikatiba kupiga kura, jipangeni upya mtafanikiwa acheni ubishi na ujuaji.