CCM kumkomoa Masha kwa sababu alihama chama 2015 ni Ujinga mkubwa

Tumejidhalilisha sana kwa kuwa na malengo ya kukomoana zaidi kuliko kulikomboa Taifa toka katika Lindi la umasikini
 
Kwenye uchaguzi wa EALA aliyeshindwa CHADEMA sio Masha wala Wenje bali ni dikteta Mbowe aliyedhani kuwa ana uwezo wa kugawa kila benefit iliyopo CHADEMA. Wabunge wa viti maalum hawapigiwi kura bali Mbowe na madikteta wengine wanawa-hand pick. Utashangaa mwanamke wala hafahamiki CHADEMA tena ni kiongozi ndani ya CCM anachaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA. Aibu kubwa kwa chama kinachojinadi kuwa kinatetea democracy. Kwenye hili la EALA naye kaja tena ku-hand pick watu wawili mwingine hata miaka 2 ndani ya CHADEMA hafikishi. Wanaofahamika kukipigania chama kwa zaidi ya miaka hata 20 wanaomba lakini wala hawapigiwi kura ili ionekane hawakubaliki. Sasa dikteta anaamua lazima Masha na Wenje waingie EALA. Yaani anataka ku-dictate hata kwa bunge!! Hapa ikagonga mwamba. Mbowe lazima ajifunze udikteta una mwisho wake na pia aufanye kwa akili hata kama ni za kuambiwa.
Mbowe alishakuchukulia mkeo?mbona unamuattack tofauti na hoja iliyotolewa umekaririshwa kama kasuku kila hoja mbowe
 
Ila pia Chadema walipeleka hiyo idadi sio kwa bahati mbaya au kwamba hawana wanachama wanao-fit ila hila ilitawala zaidi. Sasa hila imejibiwa kwa hila. Ngoja tuone hii ngoma nani ataibuka mshindi.
Ukweli ndiyo huo. Kulikuwa na tatizo gani kutopeleka jina la tatu kama kanuni zinavyoelekeza ili wapate hizo nafasi mbili wanazostahili? Kwani Wenja lazima awe na Masha tu katika ubunge wa EALA and vice versa ?
 
Wengi mtakuwa mnajiuliza kwanini ccm walipiga kura za kukomoana jana kwa Wenje na Masha.
Kubwa ninaloliona hapa ni visasi,Vitisho kwa wanaccm wengine wenye nia ya kufanya siasa nje ya Ccm na chuki za kijinga.Pia ufinyu wa akili zao wamemkomoa Masha kwa sababu alihama chama wakati wa uchaguzi.Wanachosahau nafasi zile ni za CDM tu hata aridhi ipasuke.
Walichosahau kingine Wenje na Masha wanaenda kuiwakilisha nchi na sio Cdm au Ccm wote pamoja na wale wa ccm baada ya kuchaguliwa ajenda yao kubwa inabaki ni nchi sio vyama.Nina wahasa chuki hazijengi ziku zote zinabomoa.
Wenje,Huyu walimkataa kwa kinyongo,Mtakumbuka amekuwa mwiba kwa ccm muda wote na ilifikia wakadhamiria yeye na Kafulila watawafuta kwenye siasa za nchi kwa gharama yoyote.Leo wametekeleza kisasi mbele ya kamera na macho ya watanzania bila aibu.
Cha kusikitisha zaidi baada ya uhasi huu kwa taifa.Kesho ccm hao hao wakiongozwa na spika utawasikia wakisema tuweke utaifa mbele na uzalendo na si vyama vyetu.Utawasikia wakisema si kila jambo ziingizwe siasa.Unafiki mkubwa!
Kwa hali hii kama taifa.Viwanda na uchumi wa kati tutabaki kusoma kwenye magazeti ya kenya na Rwanda tu.Huku sisi tukirudi enzi za kikoloni na kujiona bado tuna uhuru wa kifikra na kiuchumi.
Chadema ni chama kikubwa sana mkuu. Hivi kimekosa candidates wengine wa kupeleka kushindanishwa na Masha na Wenje huko Bungeni??

Na hii unaiona ni Demokrasia? Au ndiyo utaratibu wa Mwenyekiti wa chama Taifa akiwateua watu hakuna wa kuhoji?

Una uhakika gani kwamba waliyowapinga ni ccm na siyo combination ya ccm na cdm wasiyokubaliana na utaratibu uliyotumika kuwapata hao candidates?
 
Tumejidhalilisha sana kwa kuwa na malengo ya kukomoana zaidi kuliko kulikomboa Taifa toka katika Lindi la umasikini
Tunataka Demokrasia ifuate mkondo wake. Why mlete watu na mlazimishe wasipingwe!!

Hii tabia ingefanyika ccm mgesema sana
 
Wengi mtakuwa mnajiuliza kwanini ccm walipiga kura za kukomoana jana kwa Wenje na Masha.
Kubwa ninaloliona hapa ni visasi,Vitisho kwa wanaccm wengine wenye nia ya kufanya siasa nje ya Ccm na chuki za kijinga.Pia ufinyu wa akili zao wamemkomoa Masha kwa sababu alihama chama wakati wa uchaguzi.Wanachosahau nafasi zile ni za CDM tu hata aridhi ipasuke.
Walichosahau kingine Wenje na Masha wanaenda kuiwakilisha nchi na sio Cdm au Ccm wote pamoja na wale wa ccm baada ya kuchaguliwa ajenda yao kubwa inabaki ni nchi sio vyama.Nina wahasa chuki hazijengi ziku zote zinabomoa.
Wenje,Huyu walimkataa kwa kinyongo,Mtakumbuka amekuwa mwiba kwa ccm muda wote na ilifikia wakadhamiria yeye na Kafulila watawafuta kwenye siasa za nchi kwa gharama yoyote.Leo wametekeleza kisasi mbele ya kamera na macho ya watanzania bila aibu.
Cha kusikitisha zaidi baada ya uhasi huu kwa taifa.Kesho ccm hao hao wakiongozwa na spika utawasikia wakisema tuweke utaifa mbele na uzalendo na si vyama vyetu.Utawasikia wakisema si kila jambo ziingizwe siasa.Unafiki mkubwa!
Kwa hali hii kama taifa.Viwanda na uchumi wa kati tutabaki kusoma kwenye magazeti ya kenya na Rwanda tu.Huku sisi tukirudi enzi za kikoloni na kujiona bado tuna uhuru wa kifikra na kiuchumi.
Kwani mkuu tatizo amechaguliwa msiyemtaka?
 
Wen

.

Wenje na Masha walishindanishwa na nani ndani ya CHADEMA? Nini kiliwazuwia CHADEMA kuwapelekea wapiga kura zaidi ya majina hayo mawili ili wachague.Je jukumu la bunge lilkuwa kuidhinisha maamuzi ya CHADEMA au kuchagua?
 
wewe ndio mjinga unaepoteza muda wako hapa kumtetea masha ambae hana impact yoyote katika maisha yako..... fanya yako.... ubunge wa EALA mtausikia redioni
 
Wen
.

Wenje na Masha walishindanishwa na nani ndani ya CHADEMA? Nini kiliwazuwia CHADEMA kuwapelekea wapiga kura zaidi ya majina hayo mawili ili wachague.Je jukumu la bunge lilkuwa kuidhinisha maamuzi ya CHADEMA au kuchagua?
mwenyekiti wa chadema ni Mungu mtu... alikuja na majina mfukoni na akaya impose kwenye chama... aibu kubwa halafu wanajifanya wao ndio watetezi wa demokrasia... hata jinsia hawakuzingatia, na wagombea wote wanatoka mwanza. what a shame
 
Hapa cha msingi ilikuwa nikuwachagua wagombea wenye uwezo wakuiwakilisha nchi yetu na si vinginevyo.
Je Wenje na Masha hawana uwezo huo au hawakidhi vigezo?.
 
Wengi mtakuwa mnajiuliza kwanini ccm walipiga kura za kukomoana jana kwa Wenje na Masha.
Kubwa ninaloliona hapa ni visasi,Vitisho kwa wanaccm wengine wenye nia ya kufanya siasa nje ya Ccm na chuki za kijinga.Pia ufinyu wa akili zao wamemkomoa Masha kwa sababu alihama chama wakati wa uchaguzi.Wanachosahau nafasi zile ni za CDM tu hata aridhi ipasuke.
Walichosahau kingine Wenje na Masha wanaenda kuiwakilisha nchi na sio Cdm au Ccm wote pamoja na wale wa ccm baada ya kuchaguliwa ajenda yao kubwa inabaki ni nchi sio vyama.Nina wahasa chuki hazijengi ziku zote zinabomoa.
Wenje,Huyu walimkataa kwa kinyongo,Mtakumbuka amekuwa mwiba kwa ccm muda wote na ilifikia wakadhamiria yeye na Kafulila watawafuta kwenye siasa za nchi kwa gharama yoyote.Leo wametekeleza kisasi mbele ya kamera na macho ya watanzania bila aibu.
Cha kusikitisha zaidi baada ya uhasi huu kwa taifa.Kesho ccm hao hao wakiongozwa na spika utawasikia wakisema tuweke utaifa mbele na uzalendo na si vyama vyetu.Utawasikia wakisema si kila jambo ziingizwe siasa.Unafiki mkubwa!
Kwa hali hii kama taifa.Viwanda na uchumi wa kati tutabaki kusoma kwenye magazeti ya kenya na Rwanda tu.Huku sisi tukirudi enzi za kikoloni na kujiona bado tuna uhuru wa kifikra na kiuchumi.

Akitukanwa Rais husemi kuwa chadema hakijui utaifa na maadili ya Nchi yetu. Wangeweza kurekebisha kwa kuwandikia barua nk nk kama kweli ila leo unataka kuingilia demokrasia unayoilia. So upinzani tu ndo unakuwa na haki. Ila wao wakifanya hila. Duuuu kazi kweli
 
Mbona masha na wenje? kwani CDM hakuna watu makini ambao wana weza kuliwakilisha taifa letu kwa weredi na si kupeleka watu ambao kazi yao ni kupinga tu hata kwenye mafanikio?
Kwani nyie ccm mlitaka chadema wawaletee akina nani muwachagulie?
 
Wengi mtakuwa mnajiuliza kwanini CCM walipiga kura za kukomoana jana kwa Wenje na Masha. Kubwa ninaloliona hapa ni visasi, vitisho kwa wana CCM wengine wenye nia ya kufanya siasa nje ya CCM na chuki za kijinga.

Pia ufinyu wa akili zao wamemkomoa Masha kwa sababu alihama chama wakati wa uchaguzi. Wanachosahau nafasi zile ni za CDM tu hata aridhi ipasuke. Walichosahau kingine Wenje na Masha wanaenda kuiwakilisha nchi na sio CDM au CCM wote pamoja na wale wa CCM baada ya kuchaguliwa ajenda yao kubwa inabaki ni nchi sio vyama.Nina wahasa chuki hazijengi ziku zote zinabomoa.

Wenje,Huyu walimkataa kwa kinyongo, Mtakumbuka amekuwa mwiba kwa CCM muda wote na ilifikia wakadhamiria yeye na Kafulila watawafuta kwenye siasa za nchi kwa gharama yoyote. Leo wametekeleza kisasi mbele ya kamera na macho ya watanzania bila aibu. Cha kusikitisha zaidi baada ya uhasi huu kwa taifa. Kesho CCM hao hao wakiongozwa na spika utawasikia wakisema tuweke utaifa mbele na uzalendo na si vyama vyetu.Utawasikia wakisema si kila jambo ziingizwe siasa, unafiki mkubwa.

Kwa hali hii kama taifa.Viwanda na uchumi wa kati tutabaki kusoma kwenye magazeti ya Kenya na Rwanda tu.Huku sisi tukirudi enzi za kikoloni na kujiona bado tuna uhuru wa kifikra na kiuchumi.
Wanawaklisha nchi gani? Wewe soma vizuri katiba ya machadema, inasema mbunge wa chadema, hawajibiki kwa wananchi bali kwenye chama!
 
Wengi mtakuwa mnajiuliza kwanini CCM walipiga kura za kukomoana jana kwa Wenje na Masha. Kubwa ninaloliona hapa ni visasi, vitisho kwa wana CCM wengine wenye nia ya kufanya siasa nje ya CCM na chuki za kijinga.

Pia ufinyu wa akili zao wamemkomoa Masha kwa sababu alihama chama wakati wa uchaguzi. Wanachosahau nafasi zile ni za CDM tu hata aridhi ipasuke. Walichosahau kingine Wenje na Masha wanaenda kuiwakilisha nchi na sio CDM au CCM wote pamoja na wale wa CCM baada ya kuchaguliwa ajenda yao kubwa inabaki ni nchi sio vyama.Nina wahasa chuki hazijengi ziku zote zinabomoa.

Wenje,Huyu walimkataa kwa kinyongo, Mtakumbuka amekuwa mwiba kwa CCM muda wote na ilifikia wakadhamiria yeye na Kafulila watawafuta kwenye siasa za nchi kwa gharama yoyote. Leo wametekeleza kisasi mbele ya kamera na macho ya watanzania bila aibu. Cha kusikitisha zaidi baada ya uhasi huu kwa taifa. Kesho CCM hao hao wakiongozwa na spika utawasikia wakisema tuweke utaifa mbele na uzalendo na si vyama vyetu.Utawasikia wakisema si kila jambo ziingizwe siasa, unafiki mkubwa.

Kwa hali hii kama taifa.Viwanda na uchumi wa kati tutabaki kusoma kwenye magazeti ya Kenya na Rwanda tu.Huku sisi tukirudi enzi za kikoloni na kujiona bado tuna uhuru wa kifikra na kiuchumi.
sababu za kukataliwa Wenje- Masha alisema yeye ni Mkenya
sababu za kukataliwa Masha- Masha alisema Wenje ni Mkenya
 
huu uzi wako umeuweka kishambenga shambenga sana, sasa na sie ngoja tukujibu hivyo hivyo kipashkuna pashkuna.

haya CCM ndio wameshafanya yao na Wenje na huyo Masha wako hawajapita, sasa unaamua nini.? kama mnaweza itisheni maandamano yenu yale ya UKUTA muisome namba.

watu wameshindwa kikanuni bungeni mnaleta umbea huku JF, pale walitakiwa wapigiwe kura sio kuidhinishwa ndio maana zikapigwa kura. kama CDM mnadhani kura hazina maana basi waambieni Wenje na Masha waende hivyo hivyo EALA bila kura za CCM tuone kama kweli nyie CDM ni vidume.

CDM mtakua lini kila siku kujilizaliza tu kama vitoto vyenye Kwashiorkor.? na mtalia sana mpaka mnyamaze wenyewe hakuna hata wa kuwanyamazisha. na mkisusa tunapeleka hao hao 7 na mambo yataenda, mmesusa Zanzibar, kiko wapi.?

ndio kwanza WORLD BANK na EU wanamwaga mapesa kwa JPM.

UKAWA wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom