CCM Inasambaratika, Dalili ziko wazi kwa Viongozi wake

As long Rais wa JMT ndio Mkuu wa Serikali, Mkuu wa Nchi, Amiri Jeshi Mkuu, na zaidi ya yote ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, hakuna litakaloharibika.

Kama huamini Lowasa pamoja na nguvu zake zote zile na Mtandao wake wote ule. Alisimamishwa pale Dodoma kwa Ukucha tu. Hadi kwenye Uchaguzi akasimamishwa kwa kidole.
 
Huku kwetu wanasema kirefu cha CCM ni Chama Cha Makonda. Makonda ndiye kila kitu kwenye chama kwa sasa.
 
Hata kule Kenya Daniel Moi alikuwa Rais wa KANU na ilianguka. Hoja hapa ni jee Waasisi na wazee wa CCM ambao wapo watakubali chama chao kipotee wanaona? kumbuka Magufuli sio mmoja wa waasisi wala mmoja wa walio jenga chama tkea awali kifupi ni kuwa hana mchango wowote katika kujenga chama.
Na jee hawa mawaziri na viongozi wengine ndani ya ccm wakifanya yaliyofanywa na kina Kibaki na Kenyatta kule Kenya kwa KANU hii ccm itapona kweli?

Unalinganisha visivyollingana, huwezi kufananisha Siasa za Kenya na Tanzania, ni mazingira tofauti kabisa kama Tanzania kungekuwa na Siasa kama za Kenya basi CCM ingeshaangushwa siku nyingi sana!
Kenya Siasa ni mtu, kwa maana ya kwamba wanafwata mtu alipo, Raila Odinga ni Mfalme wa Wajaluo wote Duniani, ni zaidi ya Mwanasiasa na popote atakapoenda watamfuata, hivyo alivyojitoa KANU maana yake ni kwamba Wajaluo wamejitoa KANU, sasa hapa Tanzania hakuna kitu kama hicho, mfano mdogo ni Lema yuko Jela na hakuna Mtanzania hata mmoja wa Arusha City aliyejitoa hata kumpigania tu, na unajua ni kwa nini? Ni kwa sababu uhusiano wa Lema na wapiga kura wake ni wa Kisiasa tu na kila kitu kinaishia hapo, sasa hilo Kenya haliwezekani, leo hii Raila Odinga akikamatwa kwa kosa lolote lile hapatakalika Ujaluoni na hiyo ndiyo tofauti!

Hapa Tanzania watu hawafwati Mtu, bali wanafwata Chama, na ndiyo maana kwa mfano Zito Kabwe alihama chadema alifikiri kwamba chadema iko hivyo kwa ajili yake, lkn Je alifanikiwa kuhama na Wanachadema? Jibu ni hapana, kwa maana Watanzania walioko chadema hawako chadema kwa sababu ya mtu bali wako chadema kwa sababu ya Chama, vivyo hivyo hata Slaa leo hii akianzisha Chama kipya bado hatoweza kuchukuwa Wanachama wote wa Chadema, na hiyo ndiyo tofauti ya Tanzania yetu nchi nyingi za Kiafrika kwamba sisi kwetu Siasa ni Chama na siyo Binadamu, hatufwati Binadamu, hivyo basi kuna watu ambao wataipigia kura CCM hata iweje, piga ua garagaza lkn hawawezi kupigia kura chama kingine, na hapo ndipo ugumu ulipo kwa vyama vya upinzani, ni ngumu sana kuwashawishi CCM kindakindaki kupigia kura Chama kingine, unaweza kusema labda kuna emotional attachement na CCM ...
 
Maadamu CCM ni Chama Dola kwa maana ya kwamba inaoongoza Serikali, hakuna madhara yoyote yale, kwani Watanzania wako wengi sana ambao wanaweza kuziba pengo la yoyote yule atakayejitoa CCM, hilo siyo tatizo kabisa, maadamu Raisi wa JMTZ ni Mwenyekiti wa CCM, fanya utakalo lkn hakuna litakaloharibika, kawaulize fisadi Lowasa, Kingunge &Co. hakuna mtu aliyewahi kujenga mtandao mkubwa uliokuwa na watu wenye fedha na ushawishi kama fisadi Lowasa na Genge lake, haijawahi kutokea ktk Historia ya nchi hii, hakuna aliyewahi kujiandaa kwa Uraisi kama Lowasa na Genge lake lkn leo hii wako wapi? Leo hii hata tu uchaguzi wa Kata tu wanashindwa kushinda!!
Uko sahihi mkuu, wao wanadhani ccm ni kachama kadogo kama hivi vingine.
 
Hali sio shwari ndani ya serikali ya CCM na ndani ya Chama ila watu wanajitia upofu na kuona kila kitu ni kawaida tuu.
Matamko ya siku za karibuni kwa baadhi ya mawaziri kama Nape, Mwigulu na Majaliwa pia ukimya kabisa wa watu kama Makamba na mawaziri wengine ni dalili za kuonyesha kuwa kuna kuziriana kazi au kuamua kuwa "watajijua"
Kwenye Chama Mzee Mangula na Katibu Mkuu Kinana ndio kama wako sabbatical leave huku kijana Polepole akiwa amefunga breki ile speed yake aliyokuja nayo baada ya kuona mambo sio.
Lingine lenye utata ni kwa Wabunge wa CCM kujiweka karibu sana na viongozi wa upinzani jamba ambalo hapo awali halikuwepo na kwa mara ya kwanza imeonekana Bungeni hoja ya mbunge wa Upinzani ya kutaka Viongozi wa serikali ya CCM waitwe Bungeni ili waadhibiwe iki ungwa mkono na wabunge wote wa CCM wakiwepo mawaziri.
Siasa ni ushawishi na Mwnyekiti wa CCM anajisahau na kutumia mkono wa chuma wa serikali ndani ya chama badala ya ushawishi. Jee wazee wa CCM na waasisi wake wamekubali chama chao wakione kinajifia kwa kasi kama hii au watachukua hatua kwa kumuadhibu mwenyekiti wao? Ikumbukwe kwa katiba ya CCM vikao vya juu vya Chama vinao uwezo wa kumpigia kura ya kumtoa madarakani mwenyekiti tena krahisi kabisa.
Sidhani CCM ni taasisi na sio majina kama ilivyo CUF ama CHADEMA, wenyeviti walewale miaka yote, huku wakidai mabadiliko wakati ndani ya vyama hivyo hakuna mabadiliko.... Kusambaratika kwa chama hiki kikubwa ni ndoto za mchana.
 
sikuiz uwaziri ama ubunge sio ishu Tena,unagombezwa,unashushuliwa unafukuzwa kihivhiv chya! Bora mtu ufanye biashara zako kuliko. Saiv watu ni kujinyenyekesha (siokeza) kwa baba jei
 
Hali sio shwari ndani ya serikali ya CCM na ndani ya Chama ila watu wanajitia upofu na kuona kila kitu ni kawaida tuu.
Matamko ya siku za karibuni kwa baadhi ya mawaziri kama Nape, Mwigulu na Majaliwa pia ukimya kabisa wa watu kama Makamba na mawaziri wengine ni dalili za kuonyesha kuwa kuna kuziriana kazi au kuamua kuwa "watajijua"
Kwenye Chama Mzee Mangula na Katibu Mkuu Kinana ndio kama wako sabbatical leave huku kijana Polepole akiwa amefunga breki ile speed yake aliyokuja nayo baada ya kuona mambo sio.
Lingine lenye utata ni kwa Wabunge wa CCM kujiweka karibu sana na viongozi wa upinzani jamba ambalo hapo awali halikuwepo na kwa mara ya kwanza imeonekana Bungeni hoja ya mbunge wa Upinzani ya kutaka Viongozi wa serikali ya CCM waitwe Bungeni ili waadhibiwe iki ungwa mkono na wabunge wote wa CCM wakiwepo mawaziri.
Siasa ni ushawishi na Mwnyekiti wa CCM anajisahau na kutumia mkono wa chuma wa serikali ndani ya chama badala ya ushawishi. Jee wazee wa CCM na waasisi wake wamekubali chama chao wakione kinajifia kwa kasi kama hii au watachukua hatua kwa kumuadhibu mwenyekiti wao? Ikumbukwe kwa katiba ya CCM vikao vya juu vya Chama vinao uwezo wa kumpigia kura ya kumtoa madarakani mwenyekiti tena krahisi kabisa.
Hata kwa Lowassa mlisema hivi hivi...
 
kweli mkuu.

nakumbuka ile siku Makonda amefanya ile comic presser yake na akina TID, aliwashukuru na kutambua uwepo wa watu prominent kutoka taasisi mbalimbali waliokuwemo ukumbini lakini hakumtaja m/kiti wa CCM Dar (Madabida) pamoja na kukaa naye high table. Madabida naye ali-hit back kiaina kwa ku-marginalise role ya Makonda.
 
Wananchi wakiamua anatoka... Ogopa sana watu wakichoka.. Kila siku unasikia watu wanachinjani yote ugumu wa maisha...binadamu akichoka hata umtishie mtutu
 
Hali sio shwari ndani ya serikali ya CCM na ndani ya Chama ila watu wanajitia upofu na kuona kila kitu ni kawaida tuu.
Matamko ya siku za karibuni kwa baadhi ya mawaziri kama Nape, Mwigulu na Majaliwa pia ukimya kabisa wa watu kama Makamba na mawaziri wengine ni dalili za kuonyesha kuwa kuna kuziriana kazi au kuamua kuwa "watajijua"
Kwenye Chama Mzee Mangula na Katibu Mkuu Kinana ndio kama wako sabbatical leave huku kijana Polepole akiwa amefunga breki ile speed yake aliyokuja nayo baada ya kuona mambo sio.
Lingine lenye utata ni kwa Wabunge wa CCM kujiweka karibu sana na viongozi wa upinzani jamba ambalo hapo awali halikuwepo na kwa mara ya kwanza imeonekana Bungeni hoja ya mbunge wa Upinzani ya kutaka Viongozi wa serikali ya CCM waitwe Bungeni ili waadhibiwe iki ungwa mkono na wabunge wote wa CCM wakiwepo mawaziri.
Siasa ni ushawishi na Mwnyekiti wa CCM anajisahau na kutumia mkono wa chuma wa serikali ndani ya chama badala ya ushawishi. Jee wazee wa CCM na waasisi wake wamekubali chama chao wakione kinajifia kwa kasi kama hii au watachukua hatua kwa kumuadhibu mwenyekiti wao? Ikumbukwe kwa katiba ya CCM vikao vya juu vya Chama vinao uwezo wa kumpigia kura ya kumtoa madarakani mwenyekiti tena krahisi kabisa.
ACHA POROJO ! SIKU CCM IKISAMBARATIKA CHADEMA ITAKUWA DEAD SIKU NYINGI !
 
Maadamu CCM ni Chama Dola kwa maana ya kwamba inaoongoza Serikali, hakuna madhara yoyote yale, kwani Watanzania wako wengi sana ambao wanaweza kuziba pengo la yoyote yule atakayejitoa CCM, hilo siyo tatizo kabisa, maadamu Raisi wa JMTZ ni Mwenyekiti wa CCM, fanya utakalo lkn hakuna litakaloharibika, kawaulize fisadi Lowasa, Kingunge &Co. hakuna mtu aliyewahi kujenga mtandao mkubwa uliokuwa na watu wenye fedha na ushawishi kama fisadi Lowasa na Genge lake, haijawahi kutokea ktk Historia ya nchi hii, hakuna aliyewahi kujiandaa kwa Uraisi kama Lowasa na Genge lake lkn leo hii wako wapi? Leo hii hata tu uchaguzi wa Kata tu wanashindwa kushinda!!
Maisha yako yote utaishia kuwasifu wanaume wengine fanya maisha bro
 
Hali sio shwari ndani ya serikali ya CCM na ndani ya Chama ila watu wanajitia upofu na kuona kila kitu ni kawaida tuu.
Matamko ya siku za karibuni kwa baadhi ya mawaziri kama Nape, Mwigulu na Majaliwa pia ukimya kabisa wa watu kama Makamba na mawaziri wengine ni dalili za kuonyesha kuwa kuna kuziriana kazi au kuamua kuwa "watajijua"
Kwenye Chama Mzee Mangula na Katibu Mkuu Kinana ndio kama wako sabbatical leave huku kijana Polepole akiwa amefunga breki ile speed yake aliyokuja nayo baada ya kuona mambo sio.
Lingine lenye utata ni kwa Wabunge wa CCM kujiweka karibu sana na viongozi wa upinzani jamba ambalo hapo awali halikuwepo na kwa mara ya kwanza imeonekana Bungeni hoja ya mbunge wa Upinzani ya kutaka Viongozi wa serikali ya CCM waitwe Bungeni ili waadhibiwe iki ungwa mkono na wabunge wote wa CCM wakiwepo mawaziri.
Siasa ni ushawishi na Mwnyekiti wa CCM anajisahau na kutumia mkono wa chuma wa serikali ndani ya chama badala ya ushawishi. Jee wazee wa CCM na waasisi wake wamekubali chama chao wakione kinajifia kwa kasi kama hii au watachukua hatua kwa kumuadhibu mwenyekiti wao? Ikumbukwe kwa katiba ya CCM vikao vya juu vya Chama vinao uwezo wa kumpigia kura ya kumtoa madarakani mwenyekiti tena krahisi kabisa.
Kimenuka Zanzibar. Hotuba aliyoitoa Rais Shein leo kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ndiyo itakuwa kivumbi ba jasho cha Ccm
 
Back
Top Bottom