Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,586
- 39,102
- Thread starter
- #101
Kiranga Kuna hoja nakubaliana nawe kabisa. Profesa Anna Tibaijuka aliwahi kusema kuwa haiwezekani kufundisha Kiswahili kama hujui lugha za huko unakotaka kwenda kufundisha.
Msingi wa kujua lugha ni mazoezi ya matumizi ya lugha husika. Lakini kujua lugha kiufasaha ni lazima kufundishwa kanuni za lugha.
Na Aya yako ya kwanza umesema Kenya inaangalia zaidi kupata faida nje ya Kenya wakati sisi tunaangalia kupata faida ndani ya Tanzania ( Tafsiri ni yangu mimi kuhusu inwardly na outwardly)
Bado naamini mbali ya kiingereza pia nini kinawekezwa kwenye kujifunza ni jambo muhimu sana.
Ujasiri haujengwi na lugha bali na mifumo inayoruhusu watu wawe jasiri. Tuna wachina hawajui kabisa kiingereza lakini wamo mitaani kwetu wanafanya biashara za uchuuzi.
Kwa mtazamo wangu lugha ni kama chombo tu cha kubebea kitu lakini siyo kitu chenyewe