CCM hii na Serikali yake ni kituko tu

HATUJAWAI ona positive impact ya kususa kwao Bungeni thus why hakuna cha maana wanachofanya hapo zaidi ya kutuhadaa sisi wananchi ili hali wanaamka asubuhi wanasain posho ambazo ni kodi zetu....The have to be creative si kila kitu kususa
Walisusa posho za wakati wa BMK zilikusaidia nini ??! Kikwetu wanasema ukiona mtu anaharibu nyumba yake msaidie kuiteketeza. Wacha UKAWA wawasaidie kuzitafuna ukizingatia hatuna faida navyo kama wananchi
 
wewe ndi wale mnaobweteka na siasa za vijiweni, story za kwenye magenge ya kahawa ndo mnaleta bungeni, mkizuhiriwa mnalalama ooooh tunaonewa, serikali imefail lipi? mmefeil nyie na ajenda ya bunge live, sasa mnatafuta msaada nje ya bunge. poleni sana
 
Aina ya raia wa nchi hii kwanini isiwe ya mwisho kwa kila kitu East Africa ukiondoa uswahili ???!!!
 
Mara nyingi ushindani unakuwa mzuri mpinzani anapogoma kushindwa kwa maana asiye kubali kushindwa hakika ndio mshindani anayekubali kushindwa atakuwa alishindana kwa faida gani sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…