Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,073
Walisusa posho za wakati wa BMK zilikusaidia nini ??! Kikwetu wanasema ukiona mtu anaharibu nyumba yake msaidie kuiteketeza. Wacha UKAWA wawasaidie kuzitafuna ukizingatia hatuna faida navyo kama wananchiHATUJAWAI ona positive impact ya kususa kwao Bungeni thus why hakuna cha maana wanachofanya hapo zaidi ya kutuhadaa sisi wananchi ili hali wanaamka asubuhi wanasain posho ambazo ni kodi zetu....The have to be creative si kila kitu kususa