Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,097
- 2,627
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kimesema kimejipanga kwa njia zote kuhakikisha kinalinda amani kabla ya Uchaguzi na baada ya Uchaguzi ikiwemo kuwadhibiti wale wote wenye nia mbaya (ovu) ya kutaka kuvuruga Uchaguzi kwa kuanzisha Vurugu.
"Asitokee mtu yeyote au kundi kupanga njama za kutaka kuleta Vurugu, Chama cha Mapinduzi kitawashughulikia wote wanaotaka kuvuruga Uchaguzi wakatafute sehemu zingine lakini sio hapa Nangunguru au katika kata hii ya Nandembo, na Sisi Chama cha Mapinduzi wala hatutegemei Dola au Polisi ila tumejipanga kukabiliana nao, tunao Vijana wa Umoja wa Vijana (Uvccm) imara sana ambao wamepatiwa mafunzo ya kutosha, tunaweza kudhibiti kila kitu."-Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Ruvuma John Forteo Haule alipokuwa akihutubia katika Mkutano wa kampeni wa Uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika katika Kijiji cha Ngunguru kata ya Nandembo Wilayani Tunduru.
PIA SOMA
- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024