Unajua nini maana ya hati wewe? Hati aitolewi kipuuzi hivyo. Hakuna mkazi wa bondeni mwenye hati.Na waliotoa hati/vibali vya kuishi kwa wakazi maeneo hayo sio wizara ya ardhi bali watendaji sio?!!
Huwa hamkosi cha kusingizia ... Tunawajua.