Elections 2010 CCM Dar watangaza maandamano na kuahirisha ndani ya dakika 5

Mimi nasema hivi kama CCM wamechoka na amani,utulivu na mshikamano wa nchi yetu tanzania wafanye haraka hicho kitendo cha Kuandamana na kuwaondoa wabunge wa CHADEMA kwa azimio la bunge hiyo Februari 8,2011. Nawahakikishia CCM kuwa kama hawajaona nchi inawaka moto basi wafanya hayo mandamano na kuwaondoa Wabunge wa CHADEMA. CCM watajuta kwa huo upuuzi wao wanaotaka kuufanya. Wajaribu waone. Watanzania sasa hivi tumebadilika. Hatutakubali wabunge wetu waondolewa bungeni.


  1. Tunachotaka CCM kwa sasa ni kuanza mchakato wa taratibu za kuunda katiba mpya ili kuondoa sheria ya kutopinga matokeo ya urais baada ya kutangazwa na tume ya uchaguzi. Sheria ambayo ni ya kidikteta! Kwanini matokeo ya ubunge na udiwani tu ndiyo yahojiwe na ya rais yasihojiwe wakati wapiga kura ni walewale????????????
  2. Tunachotaka kuwe na tume huru ya uchaguzi ambayo mwenyekiti na mkurugenzi wake hawateuliwi na rais aliyeko madarakani. Hili ccm wanajua kabisa haliko sawa.
CCM lazima wajue kuwa kuna watanzania milioni 2.2 walioko nyuma ya chadema kwa hesabu zao za kuchakachua, lakini ukweli ni kwamba kama hesabu za nec za watu waliojiandikisha kupiga kura zilikuwa sahihi kwa 20 milioni na na wakajitokeza milioni 8 tu basi wajue kuna milioni 12 ambao hawakuchagua ccm lakini walikuwa tayari kuichagua chadema baali walinyimwa fursa hiyo na ccm/nec makusudi ili wasipige kura. Hawa wata-support chadema kwa vyovyote.


Hayo maandamano ya watu milioni 14+ zidi ya milioni 5 wa ccm sijui kama kutakuwa na vifaru/risasi vya kuyazuia!!!
ccm tunataka mabadiliko ya katiba na si vitisho.
 
Unajua sheikh .. ame... fikra zao kuwa mazezeta na kupoteza direction ya kufikiri!!!!!!!!Wameacha kuwaza kuandamana kwa ajili ya mambo ya msingi; wanaona hii ya CDM ndiyo ya maana kuliko yale yanayolenga kuinua maisha yao na jamaa zao!!!!!!!!!!!!!!!!! Pole zao haya mazezeta-mazuzu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mi sidhani kama CCM wapo Serious na Maendeleo ya Nchi hii ya Tanzania, Kwasababu wamemnunua Maalim seif Zanzibar, wamewanunua CUF nao bila kujijua, Mi nimeshangaa sana Maalim nae anasema eti anailaani ile Tabia walio ifanya CHADEMA,, anasahau yeye amesababisha Watanzania kule Zanzibar Kufa uchaguzi wa 2005, na wengine wamefungwa hadi leo hii, ni kwasababu ya Maandamano yao ambayo yeye ndiye aliyainiciate,,

Na hawa CCM kwani hawajui wanacho dai Chadema? kama wanabusara kwanini wasiwaite na kukaa nao mezani ili wanegociate madai yote kwa kufanya haki inayo tafutwa? Kwani chadema nao siwatanzania? hakuna kitu kinachofanywa na Chadema kwa kukurupuka, kila kitu hufanyiwa assesment na wanasheria na wasomi alioko chamani na kufanyiwa kazi hawakurupuka kama wafanyavyo CCM, munatangaza maandamano bila kukaa chini na kujua effects za maandamano,, kisha bila aibu munahailisha ndani ya sekunde

Sasa huu si upuzi huu jamani? acheni ushabiki wa Vyama wa kijinga bwana

CCM Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,, Chadema Peeeeeooopleeeeeee .......................................
 
Back
Top Bottom