johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,099
- 164,470
Anajua hao hawajui kina Cha historia nchi ilipotoka!!Sijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri
Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49
Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk πππ₯
mtoto wake tu hapoSijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri
Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49
Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk πππ₯
Atatoka madarakani kwa hiyari au atamrithi atakapofariki?Sijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri
Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49
Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk πππ₯
Kwa hiyariAtatoka madarakani kwa hiyari au atamrithi atakapofariki?
Kenyewe kana umri gani?Sijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri
Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49
Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk πππ₯
Anamlenga mtoto wake.Sijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri
Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49
Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk πππ₯
Capt Ian Kagame.....Sijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri
Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49
Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk πππ₯
Wanakuwa bado viranja hukoRais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49
Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk πππ₯
John, tunaongelea CCM ya watanzania sio Rwanda. Rwanda ni nchi ndogo sana kama mkoa wa, Kigoma.Kuiambia CCM ichukue ya Kagame ni kukidharau chama hiki. Nafikir wanaotakiwa kuchukua ya Kagame wapo na ni cdm na ACT. Ambao viongoz wao ni wa kudumu kama Kagame.Sijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri
Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49
Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk πππ₯
Mwinyi alianza kuongoza lini?John, tunaongelea CCM ya watanzania sio Rwanda. Rwanda ni nchi ndogo sana kama mkoa wa, Kigoma.Kuiambia CCM ichukue ya Kagame ni kukidharau chama hiki. Nafikir wanaotakiwa kuchukua ya Kagame wapo na ni cdm na ACT. Ambao viongoz wao ni wa kudumu kama Kagame.
Mwinyi yupi? Senior or juniorMwinyi alianza kuongoza lini?
Kashindwa kuelewa Target yake ni mtoto wakemtoto wake tu hapo
Family ππMwinyi yupi? Senior or junior