CCM, 2020 mtajikuta kama yatima kwenye kampeni zenu! Hakuna mwenye hamu na ninyi tena.

Japo vyote vinamfanya mgombea asiuzike kwa wananchi..!lakini heri mtu akuite mgonjwa kuliko fisadi. 2020 ufisadi utavuma na waTz hawatadanganyika fisadi hatochaguliwa
Ndugu yangu tumia akili aliyokupa Mungu. Mwakyembe amesema mahakama ya mafisadi imekosa kesi
 
Upinzani hakuna hapa tz come 2020 ccm watashinda more than 70 percent they have lost their credibility baada ya kumchukua fisadi loasa afadhali ukae na jini unalolijua kuliko hilo lingine
 
Ndugu yangu tumia akili aliyokupa Mungu. Mwakyembe amesema mahakama ya mafisadi imekosa kesi
Haaa..Mwakyembe kaanza lini kuwa msafishaji wa mafisadi?kwa iyo baada ya mwakyembe kusema sasa tunaweza kumsimamisha FISADI bila hofu ya Mungu..!FISADI Ni kama panya,Huyo akiingia kwenye ghala la mahindi mtalia....
 
Hahahaha......maneno ya KUJIFARIJI haya.....Hivi unaongea umbea huu kwa kithibitisho kipi au kiashirikia kipi?????
CCM itatawala hii nchi milele Maana HAKUNA MBADALA WA CCM.........mfano mdogo tu ni chaguzi ndogo za JUZI tulitegemea hiyo ndio iwe kiashiria kibaya kwa CCM lakini ndio imekuwa kiashiria BORA zaidi kwa CCM ya kuwa WANANCHI WANAENDELEA KUIKUBALI CCM kwa kasi ya ajabu balaaaa......UPINZANI WATU WAMEISHA ISOMA JANJA YENU majizi huko....makwepa kodi yako huko.....Magaidi yapo huko......Ndimi mbili huko.....Mafisadi ya kodi za wananchi kupitia ruzuku huko........

Mngeitisha CCM iwapo tu UPINZANI kwa sasa mngekuwa mnaongelewa kwenye midomo ya WANANCHI kwa mazuri lakini MACHAFU YOTE YA NCHI HII YAMEKUWA NI YENU.....hiki ni kitu kibaya zaidi.....
Hivi mbona haya makwepa kodi hatusikii yakifungwa au kufilisiwa kwa kukwepa kodi ? haya mafisadi mbona hayaburuzwi mahakamani ? haya magaidi mbona hatusikii yakihukumiwa mahakamani na kufungwa magerezani ? shida iko wapi ?
 
Hivi mbona haya makwepa kodi hatusikii yakifungwa au kufilisiwa kwa kukwepa kodi ? haya mafisadi mbona hayaburuzwi mahakamani ? haya magaidi mbona hatusikii yakihukumiwa mahakamani na kufungwa magerezani ? shida iko wapi ?
Wewe umeisha yasikia yakimbilia MAHAKAMANI kuomba kuwa CLEARED???????
 
Back
Top Bottom