CCM 2015 wajiandae kukabidhi nchi kwa UKAWA

You better check your password, ukishabadilisha encrypt it so that none can easily access it.

Usijifanye kumtisha na kiingereza chako cha darasa la jioni. Huyo ni kada mwenzenu ameamua kufunguka maana hamtaki kumpa chake. Hiyo inaitwa mgonjwa kagoma kunywa dawa.

Japo kajichanganya ila ndio ukweli ambao hapo Lumumba mnaujua, mnajua kabisa safari hii bila kumwaga damu ushindi mtausikia. Fanya mfanyalo uchaguzi wa mwaka huu ndio utaleta mapinduzi nchi hii hata kama ccm mtalazimisha urais
 
NI habari njema kwa watanzania kwa kuzaliwa UKAWA kwani kwa hofu ya CCM kuanguka imekuwa kubwa mpaka wameanza kuweweseka.Ni kutokana na namna UKAWA walivojitambua na kukabiliana na propaganda za CCM, mfano CCM waliimaliza CUF kwa kusema ni chama cha waislamu na wakatumia staili ile ile kwa CHADEMA kuwa ni chma cha wakirsto.

Sasa UKAWA kudai watamsimamisha mgombea mmoja 2015, hiyo imekuwa shubiri kali kwa sisi kuimeza.

Ni ukweli huo tunawaomba CCM kukabidhi nchi hii kwa amani kwa UKAWA kwani wananchi hatutakubali tena wizi wa kura kwani miaka 50 ya mateso na shida sasa imetosha na sisi tunasema basi.
Habar chin y mkeka
Lowasa,Membe wametolewa njee rasmi n kutogombea uraisi tiket ya ccm.
 
Usijifanye kumtisha na kiingereza chako cha darasa la jioni. Huyo ni kada mwenzenu ameamua kufunguka maana hamtaki kumpa chake. Hiyo inaitwa mgonjwa kagoma kunywa dawa.

Japo kajichanganya ila ndio ukweli ambao hapo Lumumba mnaujua, mnajua kabisa safari hii bila kumwaga damu ushindi mtausikia. Fanya mfanyalo uchaguzi wa mwaka huu ndio utaleta mapinduzi nchi hii hata kama ccm mtalazimisha urais

Naomba unitake radhi mkuu kunilinganisha, kunifikiria, na kunifananisha kama nami ni Bk7 from Lumumbaville. Wow nimekosa sumu around.
 
Back
Top Bottom