Catherine Magige hajui jina wala jimbo la Luhaga Mpina

Aliingizwa bungeni kwa "kuwavulia chupi" wanaume wa CCM wenye kuamua.

Ukienda bungeni au ukipata uongozi kwa njia ya kuhonga pesa au uchi (ngono), mtu wa namna hii hana muda wa kutafuta maarifa Ili apate uelewa na ufahamu.

Huyu mama ni miongoni mwao!!

Hivyo inampasa aendelee kufanya hivyo kulinda nafasi yake?
 
Sie wengine ambao si wabunge wala wanasiasa tunajua majimbo yote bara na visiwani mpaka majina ya wabunge wake wote kuanzia enzi za rais ally hassan mwinyi. Sasa yeye yuko bungeni kwanini asijue wabunge wenzake wote na majimbo yao?
 
Ni aina ya wabunge wenye ufahamu mdogo wa mambo yao bungeni, hii ni fedheha kwa kweli, huyo ni mmoja tu kajitokeza, wako wengi wasio na ufahamu na mambo yao
 
Nimeshangazwa sana na video ya mbunge wa vijana (CCM) Catherine Magige ambaye hana hata jina katika nchi hii akimshambulia mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM).

Katika video hiyo, ameonekana akimuita Luhanga mpina jambo ambalo dhahili linaonesha hafahamu jina lake labda kwakuwa sio mfuatiliaji wa vikao vya Bunge na mijadala ya kitaifa.

Si hivyo tu, amethubutu kusema "Luhanga Mpina ni mbunge wa jimbo la  Meatu" jambo linalothibitisha kuwa hafahamiani hata na wabunge wenzie wakiwemo mbunge wa Meatu na mbunge wa Kisesa!

Kwangu mimi hii ni fedheha kubwa naiona kwa kuwa na mbunge asiye na uelewa wowote wa siasa ya nchi hii.

Inasikitisha!!!

Msikilize hapa Catherine Magige: Luhaga Mpina ni mtu wa ovyo ambaye haamini uongozi wa mwanamke
Uchawa ni shidaa !
 
Hao ndio wabunge wetu wa ChukuwaChakoMapema!
Huu UOZO imefika wakati TUUPINGE KWA FAIDA YA KIZAZI KIJACHO!
Inasikitisha Kwa kweli 🥺☹️😞😟🙁🙍🙍‍♀️🙍‍♂️
 
Back
Top Bottom