Mwanariadha wa South Africa mwenye jinsia yenye utata, hatimaye amemwoa Msichana Violet Rasaboya, tukio hilo limeodoa utata wa kutokujua jinsia ya Semenya
Mwanariadha wa South Africa mwenye jinsia yenye utata, hatimaye amemwoa Msichana Violet Rasaboya, tukio hilo limeodoa utata wa kutokujua jinsia ya Semenya
Kichwa cha habari kilipaswa kusomeka hivi hatimaye Dume - Jike afunga pingu za maisha.........
Hata hivyo hiyo habari inazidi kuongeza utata kwa kuwa mashindano yote aliyoshiriki huyo Semenya alikuwa akitambulika kama Mwanamke, lakini sasa hiyo taarifa inatuambia kuwa yeye ndiye Bwana harusi na huyo mwenza wake ndiye Bibi harusi!