Cash app ipi ambayo mtu aliye Tanzania anaweza kupokea pesa kutoka Marekani?

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,839
3,838
Hello everyone,

Hope this post finds you well!

To cut it short, nahitaji mnisaidie kunitaji Cash app ambayo mtu aliyeko Tanzania anaweza pokea pesa kutoka Marekani. Nimejaribu kufuatilia PayPal, Paypal walidai kuwa hawana huduma ya kupokea pesa kwa Tanzania bali naweza pokea pesa kama malipo ya hudum au bidhaa mtandaoni.

Naombeni msaada huo.

Najua kuna watu watataja NALA, Nisaidieni kujua kama NALA wako vizuri na Makato yao yakoje.
 
Mimi huwa natumia App inayoitwa Sendwave karibia miaka miwili sasa na sijawahi kupata changamoto yo yote. Hata ikitokea kukawa na mushkeli pesa zinarudishwa bila matatizo yo yote. Ni bure na mtumiwa anazipata pesa kwenye M-pesa yake au Airtel money papo kwa papo.

Screenshot_20220212-172908_Sendwave.jpg

App hii ilianzishwa na watu wa dini waliokuja Tanzania na Kenya lakini wakawa wanapata shida sana ya kutuma pesa. App hii naiamini kwa asilimia 100 labda ije iwe na figisu figusu huko mbele ya safari...
Screenshot_20220212-174943_Sendwave.jpg
 
Mimi huwa natumia App inayoitwa Sendwave karibia miaka miwili sasa na sijawahi kupata changamoto yo yote. Hata ikitokea kukawa na mushkeli pesa zinarudishwa bila matatizo yo yote. Ni bure na mtumiwa anazipata pesa kwenye M-pesa yake au Airtel money papo kwa papo.

View attachment 2117860

App hii ilianzishwa na watu wa dini waliokuja Tanzania na Kenya lakini wakawa wanapata shida sana ya kutuma pesa. App hii naiamini kwa asilimia 100 labda ije iwe na figisu figusu huko mbele ya safari...
View attachment 2117861

Thank you so much brother.!
 
Sorry , This cash app’s services seems to be not available for Tanzania. I can’t see my country’s flag. Is there anything I might have done it wrong sir ??
 
App hii ilianzishwa mahususi kwa ajili ya Tanzania na Kenya japo sasa imepanua huduma zake katika nchi mbalimbali duniani. Nitashangaa sana kama haipo Tanzania.
 
Wamarekani wengi wanatumia paypal so ina maana anaweza kutumia Xoom kukutumia pesa kwenye mobile wallet maana xoon mtoto wa paypal na anaweza tuma pesa from paypal to xoom kuja mpesa au tigo pesa au airtel money.

Mmarekani akiwa na paypal tayari hiyo hiyo ni account ya xoom.

Na ni instany akituma inafka within minutes au hapo hapo
 
Back
Top Bottom