"Binadamu kila kitu anataka kujaribu..."Habari zenu wadau..
Mi swali langu ni kuwa kwann hawa wa2 wamekuwa wengi sikuizi kisa nini.na pia adi nchi za ulaya wanalazimisha nchi zetu ziuharalishe
Swali ni nini kinacho sababisha adi haya mambo yatokee
Ukizingatia na Biblia iliongelea hili swala
Tatizo ni kwamba nchi za ulaya zinataka kuitawala dunia. Hiyo ni moja kati ya mipango yao. Kumbuka wale jamaa ni watu wa kujitoa muhanga leo ili kesho wakutawale vizuri. Mkisha kubali ishu za jinsia moja, basi watakuja wawaoe nyie pamoja na wake zenu ili wawatawale vizuri. Na kuhusu bible Acha kabisa kuamini habari za mungu kwani ni moja kati ya mipango yao pia. Ila naamini kwa upande huu wa imani wameganikiwa 99%Habari zenu wadau,
Mi swali langu ni kuwa kwanini hawa watu wamekuwa wengi sikuhizi kisa nini na pia adi nchi za ulaya wanalazimisha nchi zetu ziuhalalishe.
Swali, ni nini kinacho sababisha adi haya mambo yatokee?
Ukizingatia na Biblia iliongelea hili swala.
Maneno kama Basha, shoga, wasagaji yameanza lini? Leo jana au wewe umeanziasha? Huko hivo vitabu unavyoongelea ndo ulipoanzia. Kumbuka wanafalsafa wamwanzo urumi ndo walikuwa mashoga na wanafunzi wao walilijua hilo (google). Ushoga na umalaya na wizi ni kazi ambazo zilikuwepo toka evolution ndo maana kuna wanyama wanaozalishana na jinsia moja.
Biblia ilitungwa na binadamu kama wewe na kila mtu aliandika alichoona ni sawa kwa wakati wake. Ndo maana kwenye agano jipya Maria Magdalena anaonekana kuwa kahaba lakini kwenye vitabu vilivyogunduliwa 1947 Egypt inaonekana yule alikuwa karibu na Yesu na alichukiwa na Mtume Paul. Google the gosple of Mary Magdalen na utaelewa biblia iliandika kufurahisha waliokuwa wanaisoma kwa wakati ule. Sisi ni mapokeo sawa na mzee wa kimasai angeandika kuhusu mila na mungu wa mlima ule wa moto watu wengine wangekubali kulingana na yeye alivyoamini. Dini ni imani siyo reality. Watu hawa wameumbwa na genes zao zina matatizo wanaweza kupata dawa kuzilekebisha lakini siyo laana wala hawajifanyi hawana tofauti na zeruzeru.