MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,182
- 4,359
Habari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi wa bodi ya ligi kuahirisha mchezo wa ligi tarehe 8 hazina mashiko, Hivyo hawakuwa na sababu zozote za kuahirisha mchezo.
Soma Pia: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu
Kwa upande mwingine, Barua iliyoandikwa na Simba kwenda bodi ya ligi kisha kupelekea mchezo kuahirishwa imewatia hatiani Simba hivyo wote wawili wamebainika kula njama kukimbia derby.
Adhabu inaweza kufuata muda wowote.