wanandugu Member Wa Jf
Rafiki Yetu Kaka Yetu Mpendwa Baba Yetu Capt George Mazula Amefariki Hivi Punde Huko Tanzania Habari Kamili
Tuwe Pamoja!!!!!mungu Amlaze Mahali Pema Peponi
!!!!!poleni Sana Wanafamilia!!!!
Poleni na msiba ndugu zetu kina Brian na George.
Mapema mwaka huu nilipata nafasi ya kukaa meza moja (chakula cha jioni) na mzee Mazula alipokuja kuwatembelea wanae na pia kutoa shukrani kwa jumuiya baada ya kifo cha mwanae Walter. Ilikuwa ni heshima kubwa sana kukutanishwa naye we had some very light moments.
Kutoka hapa Detroit tutawajulishe taratibu za maombolezo na michango ya pole.
M. M.
Nilimfahamu Mzee Mazula Kama Mmoja Kati Ya Watu Wacheshi, Watani Na Kubwa Kuliko Yote Msema Ukweli Pasipo Kuogopa Kitu Wala Mtu...inasikitisha Sana Kuondoka Kwake Duniani Mapema Kiasi Hiki Ambapo Watu Kama Yeye Jamii Na Dunia Nzima Inawahitaji Kuleta Mabadiliko Yanayoonekana Na Yatakayokuwa Na Manufaa Makubwa Kwa Vizazi Vijavyo...na Ni Nanai Basi Huyo Mwenye Uwezo Wa Kubadili Mipango Ya Mungu Kati Yetu Sisi Wanadamu???.....kwa Vila Hakuna Na Hatokaa Atoke, Basi Na Jina La Bwana Lihimidiwe Kwa Kila Jema Alitekelezalo Kwa Sisi Waja Wake...ametoa Na Sasa Ametwaa.
Naungana Na Familia Yote, Ndugu, Jamaa Na Marafiki Wa Mzee Mazula Katika Kuomboleza Kifo Cha Mpendwa Wetu...rest In Peace Mzee George Mazula