- Thread starter
- #41
Inaonekana wewe huijui historia ya Zimbabwe,ni hivi mara baada ya uhuru mwaka 1980 mugabe alikuwa ni waziri mkuu akiwa ndio mtendaji mkuu wa serikali huku banana akiwa ni rais(kama ilivyo israel) lakini baadae ndio wakafanya mabadiliko ya katiba na kufuata kama mfumo wetu hapa Tanzania hapo ndipo mugabe alipokuwa rais mtendaji badala ya cheo cha waziri mkuu.ninachokiona kwenye hii post ni picha ya ikulu ya Zimbabwe. Kwa ufahamu wangu wa historia Zimbabwe ilipata uhuru mwaka 1980 na toka wakati huo raisi wake ni mugabe. sasa huyu Banana kawaje raisi wa zimbabwe tangu 1980 hadi 1987? Mleta mada Mumba Daly tafadhali toa maelezo