akuhmm
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 583
- 225
Kodi kubwa sio kwa ajili ya hongo jmn. Ni kizuia uharibifu wa mazingiraMi nilizani baada ya kuingia Magufuli kalukuleta inayotumiwa na tra kukadilia bei za magari na ushuru wake kwenye kuingiza magari ingefanyiwa marekebisho na kuweka bei halisi za Magari na makadilio ya kodi zinazolipikA
LAKINI NASHANGAA IKO VILEVILE USHURU WA MAGARI MENGI UMEKUWA MKUBWA mara mbili ya bei ya gari na garama za nauli hadi Dar es saalam,,
Mi niliamini awali tra warikadilia kodo kupwa ili waagiza magari washawishike kuwaonga wao na wakwepe kulipa tozo zote
sasa ni wakati wa kazi tu TrA watoze kodi zinalipika