kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,781
Huyu kichere naona ni chawa tu. Pamoja na wizi mkubwa eti asilimia 99 ya halmashauri zimepata hati safi. Yaani pengine amerejesha kuangalia mpango wa mahesabu tu badala ya kuangalia wizi na rushwa ambao ndio kitu wananchi wanataka kusikia. Halafu analeta ujinga maana ukiwa chawa unakua mjinga. Anajifanya hajui wastaafu wanahudumiwa kutokana na mchango waliyofanya wakiwa kazini. Yote ni kwamba wanafanya pengine hila kutaka kuwadhulumu wastaafu. Tayari mfuko huo wa bima uliyojaa ubadhirifu umesababisha wafaidika kunyimwa matibabu kwa kiwango kinachostahili kwa mfuko kubana fedha za huduma huku ukiwa umewakopesha wafanyakazi wake mabiloni ya michango ya watumishi.CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia
Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu Mfuko wa Bima tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia.
View attachment 2948111
Mlale Unono