Mkuu bado ujaaenda Kisutu? Au alienda kumuangalia mkwe wake Lowassa.
Nyie subirini siku hyo sjui mtajinyonga maana mahaba mlio nayo juu yake ni dhahiri kuna jambo anawafanyia
Mkuu bado ujaaenda Kisutu? Au alienda kumuangalia mkwe wake Lowassa.
Wewe punguani kweli unasukumwa na chuki na roho ya husda weka basi huo ushahidi wa ufisadi wa Dr.Dau.
Punguani ni yeye aliyeolewa na mwanaume punguani
Mkuu jina lako kwa lugha ya Kiha ni Laana tupu.Nyie subirini siku hyo sjui mtajinyonga maana mahaba mlio nayo juu yake ni dhahiri kuna jambo anawafanyia
Makaburi yanafukuliwaNipashe waliingizwa mkenge kwa njaa zao au ulikuwa mpango wa Mengi kutumika.