CAF mnaidharau Yanga na kuipaisha Simba

Mara ya mwisho Simba kukwea pipa ilibutuliwa na Alshandy ya Sudan Kusini.
 
Mara ya mwisho Simba kukwea pipa ilibutuliwa na Alshandy ya Sudan Kusini.
Cairo mtabutuliwa na akina nani...Yanga mwisho huko Madagascar,Comoro,Rwanda,Mauritius and the likes.Lakini za central,North and West Africa.
 
Yanga ashindwa kuvunja mwoko wa round ya pili.Eti wa kimataifa kumbe wa madimbwini.
 
Yanga vs Al Ahly x 5
Simba vs Al Ahly x 1

Yanga vs Zamalek x 2
Simba vs Zamelek x 1

Yanga vs Ismailia x 1
Simba vs Ismailia x 2

Simba vs Arab Contractor x1
Yanga vs Arab Controctoe x 0

Simba vs Mehra El Kubra x1
Yanga vs Mehra El Kubra x0

Simba vs Al Hadood x 1
Yanga vs Al Hadood x 0

Yanga vs Esperance x 1
Simba vs Esperance 0

Yanga vs Du Sahel x1
Simba vs Du Sahel x 0
 
Nakumbuka kikosi cha Simba 1993 CUF.
1.MOHAMED MWAMEJA
2.Kasongo Athuman
3.Twaha Hamidu
4.Idd Seleman (Sina Uhakika sana)
5.George Masatu
6.Hussein Marsha
7.Edward Chumila/Feruzi Tellu
8. ??
9.Madaraka Suleman
10.Malota Soma
11.Dua Said

Hiyo list ilikuwa balaaa
 
Back
Top Bottom