Busara ya Rais Magufuli na Bunge zimeokoa Bodi ya Mikopo

ata kama ni siku yenu ila sio kwa ujinga huu ulio post unaijua 30% wewe au unaongea tu

maisha Magumu eti alafu wew unaongea ujinga kama huu
 
Bila ya Busara ya Rais wetu na Bunge kutunga sheria ya bodi ya mikopo kwa makato ya 15% kutoka kwa wanufaika wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu bodi hii ingeshindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wapya kwani ingefilisika kabisa.

Mkae mkijua ili nchi yeyote iendelee lazima suala la elimu lipewe kipaumbele.

Sheria hii iliyoanza kufanya kazi mwezi wa pili 2017 ina umuhimu mkubwa kwa kuiwezesha Bodi ya Mkopo ya Elimu ya Juu ikusanye marejesho yake kwa wingi.Hali hii itawezesha Bodi hii iwe na pesa za kutosha hivyo kuwa na uwezo mkubwa kukopesha wanafunzi wengine.

Najua wafanyakazi wengi sheria hii ya makato ya asilimia 15 ya mkopo kutoka katika mishahara yao inawaumiza sana, kwani baadhi yao hushindwa kumudu majukumu yao ya kifamilia na pengine baadhi yao kuona kazi chungu kwa makato haya makali , wakati mwingine mfanyakazi kukosa hata nauli ya kwenda kazini au hata akienda kazini hupiga miyao ya njaa kwa kukosa pesa ya chakula.

Lakini ebu kuweni na uzalendo wa nchi yenu, mnataka Bodi ya mikopo ishindwe kujiendesha ? Hamuoni madhara ya wanafunzi wa elimu ya juu kukosa mikopo ni makubwa kuliko ya mfanyakazi kukuta sh.90000 kwenye akaunti yake baada ya makato ya 15% ? Hivi Taifa litapata wapi wataalamu mbalimbali ?

Unalalamika kwa kukatwa 15% kwa nini usitafute vyanzo vingine vya mapato kama mshahara unauona mdogo ? Kwani maisha yako hayaendi mpaka utegemee mshahara ?

Nakupongeza rais John Pombe Magufuli kwa kusaini sheria hii ya Bodi ya mikopo ya makato ya 15% ya mishahara ya wanufaika wa mikopo, ila umeniudhi kitu kimoja, ungeshinikiza makato walau yawe 30% ya mishahara ya wafanyakazi.Hii ingejenga uwezo zaidi kwa bodi.

Hongera JPM , Hongera Bunge kwa kwa upatikanaji wa sheria hii.
Pumba tupu
 
Kweli siku ya wanawake na wanawake wenyewe ndio nyie.... Hizo kodi zote wanazokata haziwatoshi tu....

Happy women's day
 
Halafu watu wakidai vyeti vya Makonda mnatoa povu. Ingawa mnajua kabisa kwamba elimu ya Tanzania ni shughuli pevu na watu wana sacrifice sana kuipata. Kwa hiyo ukipewa nafasi yoyote ile ambayo hustahili (kwa sababu huna vyeti) basi wewe ni zaidi ya Jipu inabidi utumbuliwe haraka sana. Wenye vyeti halali ndo wanastahili kufanya kazi za umma!
 
Bila ya Busara ya Rais wetu na Bunge kutunga sheria ya bodi ya mikopo kwa makato ya 15% kutoka kwa wanufaika wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu bodi hii ingeshindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wapya kwani ingefilisika kabisa.

Mkae mkijua ili nchi yeyote iendelee lazima suala la elimu lipewe kipaumbele.

Sheria hii iliyoanza kufanya kazi mwezi wa pili 2017 ina umuhimu mkubwa kwa kuiwezesha Bodi ya Mkopo ya Elimu ya Juu ikusanye marejesho yake kwa wingi.Hali hii itawezesha Bodi hii iwe na pesa za kutosha hivyo kuwa na uwezo mkubwa kukopesha wanafunzi wengine.

Najua wafanyakazi wengi sheria hii ya makato ya asilimia 15 ya mkopo kutoka katika mishahara yao inawaumiza sana, kwani baadhi yao hushindwa kumudu majukumu yao ya kifamilia na pengine baadhi yao kuona kazi chungu kwa makato haya makali , wakati mwingine mfanyakazi kukosa hata nauli ya kwenda kazini au hata akienda kazini hupiga miyao ya njaa kwa kukosa pesa ya chakula.

Lakini ebu kuweni na uzalendo wa nchi yenu, mnataka Bodi ya mikopo ishindwe kujiendesha ? Hamuoni madhara ya wanafunzi wa elimu ya juu kukosa mikopo ni makubwa kuliko ya mfanyakazi kukuta sh.90000 kwenye akaunti yake baada ya makato ya 15% ? Hivi Taifa litapata wapi wataalamu mbalimbali ?

Unalalamika kwa kukatwa 15% kwa nini usitafute vyanzo vingine vya mapato kama mshahara unauona mdogo ? Kwani maisha yako hayaendi mpaka utegemee mshahara ?

Nakupongeza rais John Pombe Magufuli kwa kusaini sheria hii ya Bodi ya mikopo ya makato ya 15% ya mishahara ya wanufaika wa mikopo, ila umeniudhi kitu kimoja, ungeshinikiza makato walau yawe 30% ya mishahara ya wafanyakazi.Hii ingejenga uwezo zaidi kwa bodi.

Hongera JPM , Hongera Bunge kwa kwa upatikanaji wa sheria hii.
Alafu ndio tunasema Tanzania ni nchi tajiri, nchi ambayo ipo tayari kuona wananchi wake wanaishi mabaya ya kuwakamua wafanyakazi ili tu iendelee kisiasa! Siasa za mzee wako kuahidi asivyovijua ndizo Leo zinatuweka katika hali ngumu wafanyakazi, jiulize yeye anapata faida gani ya kuyafanya maisha yetu yawe chini ya kiwango!! Maisha ya kukosa nauli ya kwendea kazini na kupiga kiayo ofisini, yeye anapata fahari gani eti? Muda mwingine tumia akili kufikiri kwa maana Tanzania si yenu pekee ni yetu sote
 
japo bodi wananikata deni lao ila ndugu yangu acha ubinafsi..

why sisi wa zamani tusamehewe na hapi unasema madogo wapya wao wawekewe riba???

kwa sababu sisi tumeshamaliza unasema tusamehewe madeni ila wapya unasema wakatwe tena na riba juu huo ni ubinafsi...

hakuna double standards.. wote tukatwe tulipe madeni

Binafsi sikubaliani na maoni yako kwa 100%.

Mfumo wa Bodi hauwezi kufa eti kwakua wanafunzi hawalipi. Hii ni pesa kiduchu sana. Hizi ni kodi zetu za kila siku.

Mosi: mfumo wakukopesha wanafunzi haukuangalia namna Gani elimu wanayoitoa kama INA quality na quantity katika kumpatia ajira ama kujiajiri mwanafunzi anapohitimu li aweze kuja kulipa Deni.
So ni kama wamemuibia huyu mwanafunzi Muda wake na kumpa kisicholika. Kisha wanamdai kwa sheria mpya ya Riba wakati anasoma hawakumuwekea hii Riba.Huu ni wizi na ubeberu na sio uzalendo hata kidogo.

Pili; Kwasababu serikali ilidiriki kusamehe majambazi wa Escrow , Richmond etc ambapo kwa escrow pekee Pesa yake inazidi Madeni yote kuanzia ya nyuma ya bodi ya mikopo.

So kwangu Mimi this is absurd, kutumia sheria Mpya kukandamiza mamilioni ya watanzania, wakati huohuo sheria mpya ya mafisadi inawapa exceptions wale mafisadi walio ifilisi serikali kuishi kwa raha bila kulipa madeni wala kushtakiwa.

Kama Serikali wangekua wazalendo na wanawatakia mema wananchi wake kweli kweli, basi wangefuta madeni ya zamani ya bodi ya mikopo, kwakifupi wasamehe yaliopita si ndwele, kisha waanze na sheria mpya ya Riba kwa wanafunzi wapya na wahakikishe elimu inayotolewa katika vyuo ni ile ya kumfanya mwanafunzi aweze kujiajiri(quality education).
Tusiuziane mbuzi kwenye Gunia.

Only in Tanzania
Mafisadi wanasamehewa na RAIA wema tena wanafunzi maskini, wasio na kazi wanadaiwa na bodi. Tena wanawekewa na Riba iliokua haipo.

Only in Tanzania, kiongozi mwenye cheti Feki anabembelezewa aendelee kushika madaraka na mwananchi mfanyakazinwa kawaida asie na cheti anafukuzwa na kushtakiwa.
 
Bila ya Busara ya Rais wetu na Bunge kutunga sheria ya bodi ya mikopo kwa makato ya 15% kutoka kwa wanufaika wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu bodi hii ingeshindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wapya kwani ingefilisika kabisa.

Mkae mkijua ili nchi yeyote iendelee lazima suala la elimu lipewe kipaumbele.

Sheria hii iliyoanza kufanya kazi mwezi wa pili 2017 ina umuhimu mkubwa kwa kuiwezesha Bodi ya Mkopo ya Elimu ya Juu ikusanye marejesho yake kwa wingi.Hali hii itawezesha Bodi hii iwe na pesa za kutosha hivyo kuwa na uwezo mkubwa kukopesha wanafunzi wengine.

Najua wafanyakazi wengi sheria hii ya makato ya asilimia 15 ya mkopo kutoka katika mishahara yao inawaumiza sana, kwani baadhi yao hushindwa kumudu majukumu yao ya kifamilia na pengine baadhi yao kuona kazi chungu kwa makato haya makali , wakati mwingine mfanyakazi kukosa hata nauli ya kwenda kazini au hata akienda kazini hupiga miyao ya njaa kwa kukosa pesa ya chakula.

Lakini ebu kuweni na uzalendo wa nchi yenu, mnataka Bodi ya mikopo ishindwe kujiendesha ? Hamuoni madhara ya wanafunzi wa elimu ya juu kukosa mikopo ni makubwa kuliko ya mfanyakazi kukuta sh.90000 kwenye akaunti yake baada ya makato ya 15% ? Hivi Taifa litapata wapi wataalamu mbalimbali ?

Unalalamika kwa kukatwa 15% kwa nini usitafute vyanzo vingine vya mapato kama mshahara unauona mdogo ? Kwani maisha yako hayaendi mpaka utegemee mshahara ?

Nakupongeza rais John Pombe Magufuli kwa kusaini sheria hii ya Bodi ya mikopo ya makato ya 15% ya mishahara ya wanufaika wa mikopo, ila umeniudhi kitu kimoja, ungeshinikiza makato walau yawe 30% ya mishahara ya wafanyakazi.Hii ingejenga uwezo zaidi kwa bodi.

Hongera JPM , Hongera Bunge kwa kwa upatikanaji wa sheria hii.
Haya madenj sio ya milele watakata lakin yataisha tutarud tulikotoka! All in all yakiisha yatahamia kwa namna nyingine na wew kamwe hautasalimika!
 
Back
Top Bottom