Ni muda mrefu limekuwa tawi la wapinzani wa ChademaHii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Ukiona inakera weka kisu shingoniHii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Sawa tunajua kuwa Nape hakuwa anatania, itategemea kura anahesabu nani hata kama CDM wakishinda.Ni kweli kabisa CHADEMA ni chama cha wasomi na CCM ni cha wajinga ila msije kulalamikia nguvu ya wajinga kwenye sanduku la kura mwaka 2025. Endeleeni na hizo dharau ila tukutane kwenye chaguzi.
Wangemletea Anne Makinda in advanceHakika furaha haijifichi. Baada ya kunfanyia endorsement Wakili Mwabukusi kuwa Rais wa TLS na hatimaye kushinda uchaguzi huo, furaha ya Mwanasheria nguli nchini na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu haikufichika.
Hapa anasakata lumba kama kawaida. Mcheki!
View attachment 3060390
We nawe ungeungana na Lissu kushangilia ushindi,Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Hamna kitu apo mara keshokuwa utasikia Tindu Lissu katimkia CCM, Chadema ni chama cha hovyo sana humjui kiongozi mkuu wala nani maslahi ndio itikadi yao.,Hakika furaha haijifichi. Baada ya kunfanyia endorsement Wakili Mwabukusi kuwa Rais wa TLS na hatimaye kushinda uchaguzi huo, furaha ya Mwanasheria nguli nchini na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu haikufichika.
Hapa anasakata lumba kama kawaida. Mcheki!
View attachment 3060390
Furaha ya Lissu ikurudishe kupiga kura na kuzilinda kama ilivyokuwa uchaguzi wa TLS!!Sio RPC wa Dodoma tu, mnaweza kumuagiza hata IGP afuatilie kabisa.
Sintoshoriki wala kushawishi mtu yoyote kujitokeza kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Kama una mpango wa kushiriki huo uhuni, shiriki kimpango wako.Furaha ya Lissu ikurudishe kupiga kura na kuzilinda kama ilivyokuwa uchaguzi wa TLS!!
NB: Ikiwa hukupiga kura, huna HAKI kuhoji wizi wa kura. Ni Hilo tu!!
Unapaswa utilize, kwa nini maamuzi yeyote ya wenye akili yakifanyika yanahusishwa na Chadema?Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Waliompiga risasi (kama wapo) sijui Wana hali gani wakimuona.
Unateseka ukiwa wapi?Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Mzee mwenzako huyo na rhumbaBurudani iendelee 🤗
Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Wakushukuriwa ni Mungu wa mbinguniHuyo Lissu amshukuru Mbowe bila mbowe saa hizi asingesakata hilo RHUMBA
Kumkwamisha Mwabukusi imeshindikana, au bado hujitambui. Mbona ni kama hujui kilicho tokea?Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema