kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 1,386
- 2,366
Ni muda mrefu limekuwa tawi la wapinzani wa ChademaHii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema