Burudani: Tundu Lissu akisakata rhumba kufurahia ushindi wa Mwabukusi

Heparin

JF-Expert Member
Sep 24, 2021
216
993
Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
 
CHADEMA hongera sana kwa hatua hii! Mmeonesha nguvu kubwa ya kisiasa na kiweledi, kuwa CDM ni chama cha wasomi, CCM ni chama cha wajinga.
 
Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
TLS haina katiba na hawatendi kwa mujibu wa...?!Wanasema tu jambo lolote bila utaratibu!!Hamnazo..weye
 
Tusihukumu mapema sana, tusubiri kazi zake wajameni ................. Jana tu amechaguliwa tayari tumeanza kulialia
 
Back
Top Bottom