AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,041
mbona hizi alama ni sahihi, hata vyuoni wanatumia hiyo kitu?. Wewe umesoma wapi?. Ulitaka alama 21-40 iwe C?.
Hiyo ndiyo tuliyotumia sisi enzi zetu za miaka ya tisini mwanzoni.alama za miaka ya nyuma hizi hapa.
F: 0-20
d: 21-40
c: 41-60
Miaka ya nyuma walitumia zipi ili tuungane na wewe kwenye kutishika?
alama za miaka ya nyuma hizi hapa.
F: 0-20
d: 21-40
c: 41-60
si kweli hapo kwenye blue,usipotoshe
Haki inatafutwa kwa kupigana sio kwa kujiua mwenyewe, then what? Ingawa inauma kupoteza hao ndugu zetu lakini tuangalie na yule aliyeandika mashairi, mchora mazombi angejinyonga ungesema naye alionewa.Mkuu CHAMVIGA leo mpaka mwili umetetemeka aiseee, kuna ndugu yangu huku alijinyonga na watu wakalia sana, sasa sijui hao waliokufa itakuwaje?
0-20 =F
21-40 =D
41-60=C
61-80=B
81 -100=A kwa zamaszetu
0-20 =F
21-40 =D
41-60=C
61-80=B
81 -100=A kwa zamaszetu
Hiyo ndiyo tuliyotumia sisi enzi zetu za miaka ya tisini mwanzoni.
Wakati huo:
B= 61-80
A=81-100
Una document yeyote au uliwahi Kuona andiko lenye alama hizi kuwa ndizo grading za NECTA?
Mkuu hivi siku hizi Syllabus ndiyo imekuwa Curriculum?usiteswe na mainstream info,,mitaala ipo,ka unataka uhakika kamuulize mwanao ushaiona syllabus atakujibu,,,nime proove kwa macho yangu,,tena ni mipya yaani ya 2012
Sio Kosa lako, Hata mimi niliamini hivyo. Mbaya zaidi hata walimu wangu walijuwa hivyo. Sikushangai kudai kuwa D inaanzia 21. Mwenye waraka au andiko lolote la NECTA atuwekee humu tusiishie tu kuamini kitu ambacho hakijawahi kuwepo.watu wengine kwa ubishi,,alama ndo hizo unazopinga,,,
Una uhakika na ulichokiongea?Hata mie na walimu wangu tulidhani ndiyo hivyo lakini hizi hazijawahi kutumika mahali popote Tanzania
Mkuu, asilimia 100%....Huwa sibishi kitu nisichokijua...Kwa hili najuwa iko siku mambo yatakuwa hadharani na utaelewa kwanini naema hivyo....Jiulize kwanini Pass mark ya form II ni 30?? Kwanini wao NECTA D ianzie 21 si ni kituko hicho?Una uhakika na ulichokiongea?
Nadhani hujui unachokiongea, kwani umeambiwa 21 ni F, mbona bado 30 ya FTSEE ni D na ipo ndani ya range ya D ile ile! Kinachotakiwa pale ni mwanafunzi wa FTSEE kama atapata alama D basi iwe ni ile ya juu kidogo kumuwezesha kupambana na masomo magumu kidogo ya ngazi inayofuata.Mkuu, asilimia 100%....Huwa sibishi kitu nisichokijua...Kwa hili najuwa iko siku mambo yatakuwa hadharani na utaelewa kwanini naema hivyo....Jiulize kwanini Pass mark ya form II ni 30?? Kwanini wao NECTA D ianzie 21 si ni kituko hicho?
Nadhani hujui unachokiongea, kwani umeambiwa 21 ni F, mbona bado 30 ya FTSEE ni D na ipo ndani ya range ya D ile ile! Kinachotakiwa pale ni mwanafunzi wa FTSEE kama atapata alama D basi iwe ni ile ya juu kidogo kumuwezesha kupambana na masomo magumu kidogo ya ngazi inayofuata.
Usitake kulinganisha mtihani wa FTSEE na CSEE/ACSEE/DSEE/GATCE nk. Kwanza hata mamlaka zinazohusika na utungaji, usahihishaji na utoaji matokeo ni mbili tofauti.