Bungeni: Mbunge wa Kibamba, John Mnyika akwaa adhabu kwa utovu wa nidhamu

Huyu babu naye ndiyo maana jimbo analotoka linamaskini wa kutupwa maana ni mtemi wa jimbo hilo hataki mawazo mapya.

Huyu BABU nae hana jipya..mkuu hivi yule aliyetandikwa BAKORA na mheshimiwa sana huyu kwenye kampeni kura za MAONI bado yupo?
 
Huyu babu naye ndiyo maana jimbo analotoka linamaskini wa kutupwa maana ni mtemi wa jimbo hilo hataki mawazo mapya.

Hayo ni yako hivi kama huu Upupu / Upuuzi uliouanika hapa ungekuwa ni wa kweli angekuwa ndiyo Mbunge pekee aliyeweka rekodi ya kuchaguliwa kwa 100% na Wananchi wake kama rekodi za Kiuchaguzi zinavyosema? Kwahiyo Wewe ndiyo una akili kushinda Wananchi wake wenye akili timamu kabisa waliomchagua? Umejenga hoja ya KIPOPOMA sana.
 
Miongoni mwa vyeo vinavyohitaji hekima na busara ya hali ya juu ni uspika,naamini Spika Ndugai leo amefanya maamuzi ya kumtoa nje Mnyika pasipo kutumia hekima na busara jambo linaloweza kusababisha mpasuko miongoni mwa wabunge wakati huu tunapotakiwa kuwa wamoja kwenye masuala ya kutetea rasilimali zetu yakiwemo madini.
 
Wameona wanasahaurika, ila wabuni mbinu mpya basi yaani tangu 2010 wao ni kutoka nje tu halafu kesho yake wanarudi

Bora wanatoka vinginevyo na wao tungewajumlishia kwenye ile mikataba ya wizi ya 3% kama mrahaba kwa nchi.
 
spika na chama chake ndio waliosaini hiyo mikataba ya kuchukua hadi vumbi leo wanataka kutudanganya eti wanauchungu na hii nchi ..kwani walikua wapi kipindi chote inchi inaibiwa na kutuachia mashimo na mahandaki yasiyokua na kitu.
 
Hayo ni yako hivi kama huu Upupu / Upuuzi uliouanika hapa ungekuwa ni wa kweli angekuwa ndiyo Mbunge pekee aliyeweka rekodi ya kuchaguliwa kwa 100% na Wananchi wake kama rekodi za Kiuchaguzi zinavyosema? Kwahiyo Wewe ndiyo una akili kushinda Wananchi wake wenye akili timamu kabisa waliomchagua? Umejenga hoja ya KIPOPOMA sana.
Walimpgia kula kwa aslimia hizo kwakuwa huwa anawapga fimbo wapga kula wa jimbo hilo ss nani apgwe ndo maana wakampgia au hujui
 
Back
Top Bottom