Bungeni: Kubenea apewa siku nne kuthibitisha tuhuma dhidi ya JWTZ

Watanzania wivu unawamaliza
Mtamtukana sanna kutaka kumdharau kubenea, hamtamuweza wengi wenu Na degree zenu hamumpati Kubenea Kwa lolote, sinkimwili wala kiakili, wala maisha. Watanzania mna wivu sana Na achievers, your are fools and poppers, Kubenea ni mfanyabiashara mkubwa wa Tasnia ya habari, wewe ninkibarua wa kukinga mkono wa Ndio Mzee wapi Na wapi. Kubenea Anakaa Kwake, Nyumba aliyoijenga mwenyewe, wewe unaganga Na Nyumba Za Kupanga uko Sinza Hapo ulipo unahaha Magufuli kabana una consider option Za mbagala go go la Mboto Kama unataka kuhakikisha Dar, Kubenea Anakaa kwenye chombo cha uakilishi, kachaguliwa na wananchi Kwa Kura Nyingi, wewe hata Kura Za familia hupati, huna cha kuonyesha ni Majungu tu Shule Yako Na degree zako zinakusaidia nini?

Huna Uwezo Chuki ya nini?
Hii tabia muache Kabisa ya kudharau Kwa Kuwa hamuwawezi, mmejaa majungu na kuharibia watanzania, Akili Za kitumwa mlitaka Afande mvietnan au Mkenda Ndio mu appreciate. Leo hii hakuna muwekezaji au mdau wa kimataifa wa naendeleo asiyemjua Kubenea Na kazi Yake, Na heshima Yake, wewe a nakujua Nani zaidi ya Malaya wa nakaleshi Kwa Kuwa hukosi kila siku Na Ndio PRO kujifanya una habari zote Za Mjini.i hate this, Ndio maana kukiwa Na opportunity watanzania tunatolewa nje Kwa majungu Na miwivu ya watanzania wenzetu Kama Nyie.kila Mtu Hawezi mbele Yako Wakati wewe huna cha kuonyesha.
Tumbua Jipu Tusonge Mbele
Naomba wale wenye Nia njema mniunge mkono haya majitu tuyatokomeze ni majipu ya liyokomaa ya kung'oa Kwa Koleo. I am a Phd lakini Sifiki alipo kubenea, kuna primary schools wanoofanya mambo makubwa, my business partner ni form four failure Tena wa Shule ya hivyo ya Kinindoni Muslim, Leo hii ni nguzo Kubwa Kwa kampuni, hao wasomi tunawaajiri, sembuse Kubenea
mkuu unahasira kama umefumania, pole au ndo kubenea ww, ? ungesoma contents kwanza hoja ni aggy kuwa na elim dun, tumekubali kuwa kweli elim ni duni na ndiyo maana alichangia hvyo, je kubenea elim yake unaifaham?kama unaijua iweke hapa tumjadili, mafanikio hayana kusoma au kuwa na digreee, o phd...

kama unamtetea kwel weka elim yake hapa hata ya form tu nae tumjadili... vinginevyo bado narudia kuwa ndye mbunge mbumbumbu kuliko wote bungen....
 
Wewe Ndio mbumbumbu, hakuna uhusiano wa eliminate mtu na umbumbumbu, saw a na wewe hata sihitaji kujua Elimu Yako, ni mbumbumbu huna hata arguments, Hata Huo mfano wa Mbunge baby wa CCM hauhusiki na issue, Elimu ya Kubenea unaitakia nini? Weka Yako tuweze ku confirm umbumbumbu wako, huna Kituo Acha wivu wako, achana na Kubenea humuwezi wewe ni taka mbele Yake wewe type Yako huyo baby uliyemtolea mfano, shut
 
mkuu mbona povu.... tatzo ni nn mbona elim ya aggy tunaijadili, kwa nn ya kubenea tusiijadili? au kwa kuwa umelipwa kumtetea,? basi mkuu weka basi ka elim kake ka hapa na pale mbona rahisi tu...
 
mkuu mbona povu.... tatzo ni nn mbona elim ya aggy tunaijadili, kwa nn ya kubenea tusiijadili? au kwa kuwa umelipwa kumtetea,? basi mkuu weka basi ka elim kake ka hapa na pale mbona rahisi tu...
Mjadala hapa sio elimu ya huyo aggy unayemsema, mjadala ni Kubenea kuthibitisha uongo au ukweli wa alichozungumza bungeni wakati akichangia kwenye hotuba ya wizara ya ulinzi. Sasa tatizo lako unaanza kuhoji elimu ya Kubenea as if kusema uongo kunahusiana na elimu ya mtu. Ndio maana wengine wanaona labda na wewe uweke CV yako hapa ili waone kama wanajadili na mtu mwenye uelewa wa kiwango gani!
 
Ni uhakika alichokiongea Mbunge wa ubunge Said Kubenea ana uthibitisho nacho huwezi kutoa tuhuma ambazo huna uthibitisho nazo. Muda ukifika ukweli utajulikana
 
Mjadala hapa sio elimu ya huyo aggy unayemsema, mjadala ni Kubenea kuthibitisha uongo au ukweli wa alichozungumza bungeni wakati akichangia kwenye hotuba ya wizara ya ulinzi. Sasa tatizo lako unaanza kuhoji elimu ya Kubenea as if kusema uongo kunahusiana na elimu ya mtu. Ndio maana wengine wanaona labda na wewe uweke CV yako hapa ili waone kama wanajadili na mtu mwenye uelewa wa kiwango gani!
mkuu mjadala ni elim ya aggy na alichokisema, na ndiyo maana nlikubali kuwa kweli hyo mbunge aliongea kisicho, ila pia nikasema kama tatzo ni elim mbona kubenea elim yake haijulikani, na kama hoja si elim kwa nn aggy tunamjadili?
 
Headline ya hii thread ndio mjadala. Mambo ya elim ya huyo aggy mnayaleta kujaribu kujenga hoja zenu, na kama unaamini kuwa elimu ya aggy ndio mjadala basi umeenda nje ya hoja!
 
Kwa kweli Kubenea,from day one,alionekana ameingia kwa kasi ya kutaka kujibrand,lakini hana hoja,anapaswa kujenga hoja,kama anataka kuingia katika rekodi walizowahi ingia akina Zitto,za kuibua kashfa za kitaifa.
 
Back
Top Bottom